RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).
mfano mzuri sana, atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata. mwezi uliopita obama alishangaza wapita njia baada ya kuonekana akitembea mtaani.
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!