Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Una ushahidi ulete. la huna wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Wewe unaamini sanamu la mzungu kuwa ndio mungu wako na unaliabudu, kama si upunguani huo ni nini?

Na kuabudu mwezi!!!? Kuna tofauti gani na kuabudu jua na nyota au Ng'ombe!!!?? Teheee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kwa akili zetu kweli kabisa mtoto wa raisi aende kubeba unga kupeleka China?
Amekosa nini hicho hadi akabebe unga?

Habari inaweza kuwa ya kweli au ya uongo vyote vinawezekana.
Unamkumbuka aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na pia aliyeisha wahi kuwa balozi wa TZ nchi za nje "Hassan Diria alikamatwa ujerumani akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya?
Hawa jamaa huwa hawasachiwi kisheria, hivyo hutumia nafasi hiyo. Diria siku hiyo walimsachi ingawa ilikuwa ni kinyume cha sheria kumsachi, na wakamkuta na madawa ya kulevya.
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================
Tena ni upuuzi uliovuka mipaka
 
Hiyo siyo sababu ya kutuaminisha watanzania kuwa rais alimwokoa mwanae, ni matusi ya nguoni hayo kwa rais
 
Lakini mkuu usisahau nafasi hiyo hiyo ya udiplomasia ya kutokaguliwa aweza kuitumia ndivyo sivyo.. yaani kwamba kwake yeye ikawa ni rahisi kupita kidplomasia zaidi na mzigo kuliko punda! 'Just thinking from the other angle'

Hata yule balozi Diria alikuwa anatumia nafasi hiyo. Siku hiyo akawekewa wakaguzi wendawazimu wakamkagua na akakutwa na madawa ya kulevya.
 
Mbona kama Mh. amejibu kwa jazba haahahaaaa "upuuzi upuuzi maneno ya mitaani" hata mengine huanzia huku huku mitaani kama watu walivyokua wanakudiscuss kuingia ikulu ni huku huku mtaani ambako leo unakuona kumenuka....

Ee Mungu nakuomba ulinusuru taifa langu na watu wake
 
Au Ndiyo Maana Ili Kutuzuga China Imeamua Kuwapa Watz Bakuli Za Bati Na Chupa Za Chai Zenye Picha Ya Jk?
 
[Shida unajifanya hujui!!!! Bei ya sembe ni ya juu mno inayosababisha wahudika kuwa na super profit. Unafikiri Riza atafanya biashara gani ya kumpa faida kama hiyo??? Au hiyo ya Lugumi ndo mwaisemea???QUOTE=RockSpider;10240015]Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....[/QUOTE]
 
nasikia leo kulikuwa na mkutano wa mashoga pale serena hotel. vipi nyie mashoga mlihudhuria? maana nasikia mnagawa mitaani hivyo viboga vyenu kama kikombe cha babu loliondo.

kwa sababu nakuheshimu naahidi sitokujibu.angalia hisia isikutoe heshima yako. yadili mada kwa kujenga hoja na si kuleta vioja.
 
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!

Njia ya muongo ni fupi mno!

Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu sana! Sasa sijui 'rahisi' wetu huwa anapoteza kumbukumbu au hupiga viroba kabla ya kuanza kuongea?

Huyu mtu anayeitwa rais anaposema ni upuuzi, hilo ndo jibu? Nilishasema uwezo wake wa kujua mema na mabaya ni mdogo sanaaa! Hajui aseme nini na wapi.

Nawalaumu mulioko huko US kwa nini muliendelea kumsikiliza akitumia lugha ya kizembe kama hiyo? Huwa hana hoja kila wakati asipocheka, basi anaishia kusema matusi. Yawe ya nguoni au haya ya kutukana eti ni upuuzi. Nahisi yeye anadhani kutukana ndo ushujaa, ndo kuonekna ni mtu strong!

Bahati mbaya ameharibu mchakato wa katiba, lakini tuombe adumu ili tupate katiba akiwa nje ya ikulu. Tutaelewa kama nani ni mpuuzi.
 
Unategemea akubali? Ikiwa tu anakataa kuharibu mchakato wa katiba, wakati amefanya mchana kweupe tukiona, je la uchina lililofanyika chamber? Huyu ni mharibifu na wala hana uchungu na nchi yetu.
 
Kwani wewe umeona nani ccm ana hoja ya kutetea chambo zaidi ya matusi na ubabe? Ndipo utaelewa kwa nini wafuasi wa ccm hapa jamvini hawawezi kuongea kwa hoja wala takwimu zaidi ya matusi. Tafuta mtu aitwaye Weston Songoro hapa Jf, ndipo utajua ccm ina vichwa vya aina gani.

Alisema Jenerali Ulimwengu, Watanzania tumeacha ama hatuna tena uwezo wa kujadiliana kwa hoja zaidi ya matusi na ubabe. Hakuna uwezo wala utamaduni wa ku reason tena. Tabia ya magamba.

Huyu mtu anayeitwa rais anaposema ni upuuzi, hilo ndo jibu? Nilishasema uwezo wake wa kujua mema na mabaya ni mdogo sanaaa! Hajui aseme nini na wapi.

Nawalaumu mulioko huko US kwa nini muliendelea kumsikiliza akitumia lugha ya kizembe kama hiyo? Huwa hana hoja kila wakati asipocheka, basi anaishia kusema matusi. Yawe ya nguoni au haya ya kutukana eti ni upuuzi. Nahisi yeye anadhani kutukana ndo ushujaa, ndo kuonekna ni mtu strong!

Bahati mbaya ameharibu mchakato wa katiba, lakini tuombe adumu ili tupate katiba akiwa nje ya ikulu. Tutaelewa kama nani ni mpuuzi.
 
Na kuabudu mwezi!!!? Kuna tofauti gani na kuabudu jua na nyota au Ng'ombe!!!?? Teheee

Sent from my iPhone using JamiiForums

Naam, kuabudu mwezi, jua, ng'ombe, sanamu la mzungu kote ni ujinga wa hali ya juu.

Waislaam tunachoabudu ni:

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

Source: 112. SURAT AL-IKHLAS'

Swali nililobaki najiuliza,je.Pale wakati RAIS anaongea na RAIS WA CHINA ina maana kuna mtu alikua anafatilia mazungumzo yale? Na mpaka jk anashndwa kukubaliana na huyo mchina huyo mtu aliyekuwa anasikiliza hayo maneno alikuwapo anashuhudia kila kitu?

Hapa kweli ndo nimeamini kuwa hata zile story za akina ZITTO zilikua ni za kutunga wala hakuna ukweli wowote.

AMA KWELI CHADEMA MNA KIWANDA CHA KUPIKA UONGO.

Hongera kwako jk kwa kuwapa watu uhuru wa kuongea hata upuuzi na ukawa mpole tu.
Zingekua ni enzi za mkapa na mahita kuna watu wangekua hawaishi.
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================

mwacheni mkuu wakaya anatengeneza cv yake kwa kuikarafati na watoto wake. Wananchi tunasubiri tuone anatengeneza historia yake itakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa jinsi alivyo vurunda. Tuombe mungu tusijepata rais mfano wa huyu kwa siku zijazo. Inshaalah
 
Back
Top Bottom