sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. eti na wewe ni muandishi wa habari! kweli nimeamini hii kazi inafanywa na wafu waliokosa alternative baada ya kutaga f4.
rais ameenda uswisi kikazi wewe unakuja na upumbavu wako hapa. ....nina zako.
BAADA ya kuona aliyemtegemea kuficha madudu yake hayajapita imebidi kwenda kuhamisha pesa toka bank za Uswiss ....Huyo ni mtoto wa mjini NA ANAJUWA yaliyowakuta viongozi waliopita Afrika ...wazungu wahuni ukishaondoka madarakani wanakudhulumu pesa....., kwa Hiyo kuna haja ya kuzihalalisha kwa kununua Vitu..Kama hisa ,bonds etc
MAGUFULI hatabiriki NA kwa KUWA ANAJUWA URAIS ameokota chini BAADA ya wana mtandao kupigana ..hatakuwa NA wa kumlipa fadhila ....
yaani jamaa kama popo yeye angani tu kila kukicha duuu!
akili zako ni mgando kabisa❕❕❕ Ni mafanikio gani kikwete aliyoyaleta katika nchi zaidi ya shida ❕❕❕ vitu vimepanda bei, hela ya tz imeshuka thamani, deni la taifa limepanda, ameshindwa kushughulikia mafisadi, foleni inatisha❕ umeme ghali, huduma duni hospital, rushwa kuitawala tz❕ shule za serikali ndiyo usiseme khali yake Ni tete❕ hakuna rahisi aliyoiaribu Tanzania yetu kama kikwete
NILIJUA UNA AKILI KUMBE WEWE NI BURE KABISA
Hivi Tanzania tu ndiyo nchi pekee inayopata mafanikio kwa raisi wake kusafiri kila kukicha?!
Hebu tutajie mifano ya maraisi wengine wa Afrika au popote duniani wanaosafiri kama JK, na uthibitisho wa kiwango cha maendeleo katika nchi zao?
viti umetoka kufumuliwa nini? maana umenyoosha moja kwa moja kuja kuhara humu. angalia michuzi jibumbavu wewe ujue kilichompeleka Kikwete uswisi. mkitoka huko akili zote zinahama mnakuja kupost upuuzi tu humu. ...nina zako.wewe ndiye mpumbavu wa mwisho na kichwa chako kimejaa kinye..i❕❕ Ni nani asiyejua kikwete Ni mtalii‼ anamaliza kodi zetu kwenye safari za kipumbavu❕ wakati Tanzania shida zimetutawala❕ usirudie tena kuita wenzio wapumbavu, mpumbavu wa mwisho wewe usimuaminishe mtu kitu asichoamini❕❕ Mgao wa CCM umekuharibu akili❔❔
viti umetoka kufumuliwa nini? maana umenyoosha moja kwa moja kuja kuhara humu. angalia michuzi jibumbavu wewe ujue kilichompeleka Kikwete uswisi. mkitoka huko akili zote zinahama mnakuja kupost upuuzi tu humu. ...nina zako.
Tatizo lako ni aidha una ujinga wa asili amma ulienda shule kujifunza ujinga.
1) bei kupanda si tatizo, tatizo ni pale bei ipande na hauna cha kununulia hicho kilichopanda bei - kumbuka hilo.
2) Kupanda kwa dollar, ungekuwa na akili japo kidogo ungekuwa mbunifu na kuitumia hiyo fursa kwa faida yako, safirisha bidhaa nje badala ya kuagiza uone raha yake. - Fikiri.
3) Unasema huduma duni ya hospitali wakati leo hii uwiano wa mategemea ya kuishi Mtanzania ni miaka 62 (2012) wakati Kikwete anachukuwa nchi ilikuwa ni miaka 49. Unajuwa kwanini? sidhani kama utaelewa kwa kuwa una uhaba wa uelewa.
Rushwa leo hii tunaona kesi zikifikishwa mahakamani kwa maelfu, alipopokea nchi Kikwete ni kesi 50 tu. Leo hii tunapiga 98% hati safi za ofisi za manispaa na wilaya, wakati Kikwete anachukuwa nchi ilikuwa ni 5%, Jee, huyajuwi hayo?
Leo una barabara za lami kilomita ngapi? leo una zahanati ngapi? leo wagonjwa wangapi hawaendi kutibiwa nje kwa kuwa Muhimbili wana uwezo sasa wa kutibu moyo Kimataifa?
Fikiri kijana wacha kukurupuka.
Bora mimi mjinga naelimika, kuliko wewe mpumbavu wa mwisho! Umekaa kuimba kikwete kiwete ndiyo nani kwanza?? Hospital za hapa mjini watu wanalala chini, dawa hamna, maji shida mmetuwekea mabomba yanatoa hewa tuu!! maji mwezi Mara moja au yanaweza yasikote hata huo mwezi!! Mlisema tiba bure kwa watoto na wazee huyo mzee akienda hospital anadaiwa mtoto ndiyo kabisa unaambiwa hamna dawa huku jk anapaa kila siku mkiumwa mwatibiwa nje that's why hamjui adha tunaoipata!
mtanzania hiyo miaka 62 labda kaipatia mbinguni!!
Wezi wa Richmond, Tegeta Escrow hawajashulikiwa mpaka Leo!! EPA ndiyo mlitulaghai Bilali kafa!! Twiga wamesafirishwa nje ya nchi ila waliotoa idhini hiyo sijaona wakifikishwa hatiani!!
Naipenda nchi yangu Tanzania
Rushwa ipi ikipelekwa mahakamani?? Mtu kalitia hii taifa hasara ya bilioni 11 anafungwa miaka mitatu!! Ila kibaka aliyeiba kuku tu ni miaka 5 jela!! RIP CCM
Kiukweli jk anachekesha sana. Wtz wanaumia sana, ukute 2015 wtz wakachagua mfumo wa ccm badala ya mfumo mpya.
Mafanikio ya Tanzania leo hii yameenda spidi kuliko miaka yote ya kabla ya Kikwete, kwenye nyanja yoyote ile.
Hilo la nchi zingine thibitisha wewe, si mimi, mimi nnayajuwa ya Tanzania kabla na baada ya Kikwete.
ulivyofumuliwa wewe mpaka mkun..du umelegea upate japo kuishi wazani nami hivyo hivyo!! Ungeniambia ameenda kuficha mabilioni uswisi ningekuelewa❕❕❕ Wezi wakubwa pamoja na baba yako❕❕ panya road wewe na bakuli lako la nyuma lililolegea kwa kufumuliwa!!!
Acha uroho otherwise utakumaliza
Hela za kuhongwa zimekuaribu akili
Mambo uwezayo kuona kwenye hii safari ya Mheshimiwa Rais
1. Heshima tuliyopata kwa kuteuliwa kwa Mhe Kikwete kuwa mwenyekiti wa hiyo Panel na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
2. Mheshimiwa Rais kaenda kutokana na mwaliko na sio ziara binafsi au ya kuomba msaada.
3. Mada inayojadiliwa ni Global response to health crises....afya ni changamoto kubwa kwa dunia hasa nchi zetu....kuwa sehemu ya uenyekiti wa mjadala huu ni fursa ya kupata ufumbuzi wa changamoto za kiafya za nchi yetu na dunia kwa ujumla..
4. panel hii itamwezesha Rais ajifunze kutoka kwa wengine namna ya kukabiliana na changamoto hizi za masuala ya afya.
Lakini hayo kama wewe una akili ndogo lazima ukurupuke na kulalamika tu....ugonjwa mkubwa tulio nao ni kushindwa kufikiri sawa sawa
nilikuwa sijui kuwa kuna watu wengine wana PhD za upumbavu. leo nimempata wa kwanza. fungua blog ya michuzi uone kilichompeleka Kikwete uswisi ndo uje uendelee kuhoroja humu. kama vipi ungana na huyo mwandishi mpumbavu asiyejua taratibu za kiuandishi zaidi ya kukurupuka kuja kupost pumba humu.wewe ndiye mpumbavu wa mwisho na kichwa chako kimejaa kinye..i❕❕ Ni nani asiyejua kikwete Ni mtalii‼ anamaliza kodi zetu kwenye safari za kipumbavu❕ wakati Tanzania shida zimetutawala❕ usirudie tena kuita wenzio wapumbavu, mpumbavu wa mwisho wewe usimuaminishe mtu kitu asichoamini❕❕ Mgao wa CCM umekuharibu akili❔❔
Hapa umekwepa swali bibie!
Tanzania si kisiwa;haikwepeki kulinganisha maendeleo yake na nchi nyingine.
Katika listi ya nchi duniani kufuatana na kiwango chamaendeleo ya watu (Human development index) Tanzania ni ya 159! Imepitwa na Ghana (138), Zambia (141), Kenya (147), Swaziland (148), Angola (149), Rwanda (151), Zimbabwe (156).
Hizi nchi zote zilizotupita umesikia marais wao wakishindaangani?!