Unafikiri bila Kikwete kuwa angani muda wote ungeziona cubic trillion 55 za gas? Fikiri.
Fikra zenu Urais ni kukaa tu ofisini na kungoja kuletewa ripoti? ni mawazo ya kijinga na ya kizamani hayo.
Ni Rais yupi wa kabla yake Kikwete aliyeyapata mafanikio ya kiutendaji japo nusu ya aliyoyapata Kikwete Tanzania hii? anza na yeyote umpendae na chochote ukipendacho, Nyerere? Mwinyi? Mkapa?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Tena hao waliopigwa risasi unaweza kuta ni makada watiiifu kwa chama na ndio waliotekeleza uibwaji wa kura na kupiga wapinzani lakini kawaona kama ni panya vile wamekula sumu.kituo cha polisi kimevamiwa, askari wanne na raia watatu wapoteza maisha, rais huyo uswisi.Africa tuna majanga sio viongozi hawa!
NAsikia rais wetu kila mara ughaibuni, hivi kuna rais wa nchi nyingine anayezurura hivi? Nijuzeni jamani.
Kaenda kuweka, siyo kuficha.kaenda kuficha pesa.
Baada ya kushindwa kumuqeka mdogo wake Magogoni ameona ni bora akafiche mwenyewe maana hakutegemea kama Magufuli angekuwa Rais.
Manyerere Jackton bana.....!!! Haya kaka investigative journalist!
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Yuko kikazi bhana sio kwenda kutaliiiBwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
===================
photo by Freddy Maro
Yuko kwenye ziara ya kikazi jsmani so kudhurura, hata kama angekuwa baba yako angeendaNAsikia rais wetu kila mara ughaibuni, hivi kuna rais wa nchi nyingine anayezurura hivi? Nijuzeni jamani.
Unafikiri bila Kikwete kuwa angani muda wote ungeziona cubic trillion 55 za gas? Fikiri.
Fikra zenu Urais ni kukaa tu ofisini na kungoja kuletewa ripoti? ni mawazo ya kijinga na ya kizamani hayo.
Ni Rais yupi wa kabla yake Kikwete aliyeyapata mafanikio ya kiutendaji japo nusu ya aliyoyapata Kikwete Tanzania hii? anza na yeyote umpendae na chochote ukipendacho, Nyerere? Mwinyi? Mkapa?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
only in TANZANIA....Rais anapenda safari kuliko kutatua majanga ya kijamii yanayotokea nchini mwake mfano...mauaji ya askarii ya stakisharii
Akili zako ndogo saana ka mtoto wa darasa la pili...mafanikio yapi?? Yanayo mzidi hata nus ya mkapa...
Acha ujinga funguka akili mama