Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
ni vema tukaweka rekodi vizuri , hii ni safari ya ngapi ?
Du, Matola umeua mende kwa RPG. Wajua kina Abunuas ni wanufaika wa hizi ziara, bila shaka wakiona ukosoaji kama wako wanakosa usingizi kabisa.Kazi gani? Wenzake wakiwa nje ya nchi zao likitokea tatizo kwenye nchi zao hukatiza ziara mara moja na kurudi nyumbani, lakini Mkwele ndivyo sivyo nchi haiko salama yeye anakwenda kuzurura kwa vimada wake.
Hivi unadhani nchi iko salama? Unajuwa idadi ya bunduki aina ya SMG zilizopolwa pale stakishari polisi ni ngapi? Unajuwa platoon ya kijeshi inaundwa na wapiganaji wangapi?
Funga domo lako wakati watu wanadiscuss serious issues au nenda Instagram ukaangalie mapicha maana ndio level yako.
Eti nina zako! Zake zipi? Jinga kabisa.
kama nakuona jinsi ulivyo na hasira nae baada ya bwana wako kuzolewa na yale mafuriko, sasa nawe utakwenda UKAWA?​Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. eti na wewe ni muandishi wa habari! kweli nimeamini hii kazi inafanywa na wafu waliokosa alternative baada ya kutaga f4.
rais ameenda uswisi kikazi wewe unakuja na upumbavu wako hapa. ....nina zako.
Unajua hizo safari zake za kipuuzi zimetugharimu kiasi gani?
Hebu pitia hapa uangalia ni safari ngapi mpaka sasa ameshasafiri
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kikwete-tangu-aingie-madarakani-2005-a.html
Kazi gani? Wenzake wakiwa nje ya nchi zao likitokea tatizo kwenye nchi zao hukatiza ziara mara moja na kurudi nyumbani, lakini Mkwele ndivyo sivyo nchi haiko salama yeye anakwenda kuzurura kwa vimada wake.
Hivi unadhani nchi iko salama? Unajuwa idadi ya bunduki aina ya SMG zilizopolwa pale stakishari polisi ni ngapi? Unajuwa platoon ya kijeshi inaundwa na wapiganaji wangapi?
Funga domo lako wakati watu wanadiscuss serious issues au nenda Instagram ukaangalie mapicha maana ndio level yako.
Eti nina zako! Zake zipi? Jinga kabisa.
Heeee kupumzika? Msoga hakumtoshi?
sima nuda wa kujibishana na jisenge kama wewe. huna lolote bwe'ge wewe. unafikiri huo upuuzi wenu mnaowaza nchi inaweza kuvurugika? ama kweli wewe ni mpumbavu. nenda kajiuze huko.
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Lowassa amealikwa kwenye harambee ya ujenzi Wa kanisa mwanza nendeni mkamuunge mkono mmalizia zile hela walizochanga kina karamagi!
Acha kupayuka. Pole ya nini? Wape waliokuwa na wagombea. Mimi nilibaki kati maana sikutaka kufanya ujinga wa 2005. Nimewapa haki wagombea wote isipokuwa mhujumu uchumi lazaro nyalandu.
Nikipata bahati ya kuhongwa, wallah nitamalizia kuweka madirisha, milango, vyoo na samani katika nyumba yangu. Mola nishushie hiyo neema ya kuhongwa ili niondokane na ulofa huu. Mola niwezeshe nihongwe ili niondokane na hii escudo ya mwaka 1995. Wajinga wote wakiona unafanikiwa watasema, ama umehongwa au umeiba. Wakikosa yote watasema wewe ni muuza unga au ni shoga. Jamii ya wajinga huwaza yaliyo hasi tu.Na Wewe Usituzuge Mkuu Hebu Tujibie Basi Kwanza Zile Shutuma Ulizopewa Kimafumbo Na Mzee Joseph Butiku Kuwa Lowassa Alikuhonga Pamoja Na Mtani Wangu Balile. Na Mpaka Mzee Butiku Kasema Vile Nina Uhakika 99.99% Yupo Sahihi Na Ninavyoona Kama Lowassa Wako Angepitishwa Na JK Angesafiri Kwenda Huko Uswisi Usingelalamika au Kuja Na Uzi Huu Wa Kichukichuki Na Wa Fitna. Naamini Hata Babu Mwalimu Nyerere Huko Alipo Sasa Anafurahi Kuona CCM Imemteua JEMBE Dr. John Pombe Magufuli Kuwa Mgombea Wa Nafasi Ya Urais Katika Uchaguzi Mkuu Ujao Na Ningeshauri Tafuta Muda Uende Butiama Ukatubu Katika Kaburi La Mwalimu Vinginevyo Mizimu Ya Miungu Ya Kizanaki MUHUNDA Itakuandama Sana. Wahi Hujachelewa!
kituo cha polisi kimevamiwa, askari wanne na raia watatu wapoteza maisha, rais huyo uswisi.Africa tuna majanga sio viongozi hawa!
ni vema tukaweka rekodi vizuri , hii ni safari ya ngapi ?
Pole sana, leo unajitenga na Kipeperushi chenu cha Jamhuri??  , subirini walau siku zipite ndo mseme Mmeanza kusahau.Unataka kumsafisha Mgombea wako kiasi cha kuona kati ya watia nia 42 Lazaro ndo alikuwa Mhujumu uchumi zaidi?
sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. eti na wewe ni muandishi wa habari! kweli nimeamini hii kazi inafanywa na wafu waliokosa alternative baada ya kutaga f4.
rais ameenda uswisi kikazi wewe unakuja na upumbavu wako hapa. ....nina zako.