Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
PRESIDENT KIKWETE CHAIRS THE UN MEETING ON HEALTH CRISES IN GENEVA
The Chaiperson of the UN High level Panel on The global Response to Health Crises President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete during a meeting in Geneva today other panelists from second left Ms.Joy Phumaphi,Calmy Rey, and Celso Amorim from Brazil.Other panel memeber Rajiv Shah from the US participated in the panel through Video conference.
The Panel was appointed by the UN Secretary General Ban ki Moon on April this year to make recommendations to strengthen national and international systems to prevent and manage future health crises taking into account lessons learnt from the response to the outbreak of Ebola Virus disease.
Ndio njia ya kukwapua wanajiandikia mi posho ya kufa mtu!! huku Makufuli akichekea na miwani yake!!
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za dodoma. Sidhani kama magufuli au huyo wa ukawa ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Heeee kupumzika? Msoga hakumtoshi?
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za dodoma. Sidhani kama magufuli au huyo wa ukawa ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
ni vema tukaweka rekodi vizuri , hii ni safari ya ngapi ?Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
anamalizia zilizobakia,haoni aibuuuu
Lowassa amealikwa kwenye harambee ya ujenzi Wa kanisa mwanza nendeni mkamuunge mkono mmalizia zile hela walizochanga kina karamagi!Mkuu, Magufuli hajakabidhiwa funguo. Subiri azipate azitumie kufungua/kufunga kufuli!