Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
JK na mwenziwe KIBAKI wamekataa kuonana na wananchi wao wanaoishi Japani "kutokana na majukumu mengine waliyokuwa nayo"
huu mkutano ni wa jinsi ya kuzisaidia nchi za Afrika, na Japani imesema njia ya kwanza ya kuwasaidia ni kwa kutoa scholarship nyingi zaidi na nafasi za mafunzo kwa wafanyakazi wa serikali za Afrika, lakini Kikwete hana nafasi ya kuonana na wanafunzi/ wafanyakazi waliopo Japan kuona maedeleo yao wala matatizo yao, na kujua iwapo kweli huo mpango utafanya kazi kweli!!
sasa whats the point ya kwenda kwenye mkutano ambao unashindwa kuchukuwa initiatives za kuonyesha kwamba yaliyopendekezwa kwenye mkutano utayafanyia kazi?