Rais kawapa kitendawili Morogoro wakitegue

Wewe jamaa mjinga sana...simtetei Abood ila kwa jinsi ulivyoandika unaonesha ni mtu wa kujikomba...na kudandia vitu ukitaka kupata favour ya kuteuliwa.
Una uhakika Kwamba Abood anatoa Leyland kuzikia?
Punguza kiherehere.....
Hao wanaomsakama Abood na wao wana madhambi kibao...mfano tu Kuanzia Mh Rais.....nyumba alizogawa je?
Ila Abood kama aliona hawezi ni bora angerudisha tu Serikalini..
Lakini kwa jinsi ambavyo nchi ya Tanzania ilivyo huyo ambaye angepewa angelifanya haya haya ya Aziz Abood.
 
Jamaa anahangaika kweli huyu, na aina hii ya watu wakipata teuzi wanakuwa viongozi wa hovyo kweli..
 
Kwa kutumia mbinu za kimedan kama ulivyotanabaisha unaweza ukaelezea ni kwa nn Rais akukata jina la Mbunge kama baadhi ya watu walivyotegemea kutokana na vile alivyo kua akimnanga awal....?
Jibu linakuja pale Mh Rais alipowasifu wajumbe kwa kazi nzuri,kwa lugha ya picha utagundua hakuwa na furaha usoni alipokuwa anayasema hayo,Kama kulikuwa na kitu hakiko sawa,
 
Wewe jamaa mjinga sana...simtetei Abood ila kwa jinsi ulivyoandika unaonesha ni mtu wa kujikomba...na kudandia vitu ukitaka kupata favour ya kuteuliwa.
Una uhakika Kwamba Abood anatoa Leyland kuzikia?
Punguza kiherehere.....
Hao wanaomsakama Abood na wao wana madhambi kibao...mfano tu Kuanzia Mh Rais.....nyumba alizogawa je?
Ila Abood kama aliona hawezi ni bora angerudisha tu Serikalini..
Lakini kwa jinsi ambavyo nchi ya Tanzania ilivyo huyo ambaye angepewa angelifanya haya haya ya Aziz Abood.
Nilikuwepo kwenye kura za maoni niliongea Kama alivyoongea Mh Rais,wajumbe wakanizomea ndio nilipopata uhakika kuna shida sehemu,
 
RAIS KAWAPA KITENDAWILI MOROGORO WAKITEGUE.

Leo 00:58hrs 14/02/2021

Je, wakazi wa Morogoro ni wavivu kushindwa kuzika wapendwa wao hadi wapate msaada kwa Abood!?basi lenyewe analolitoa kwenda kuzika ni lile Leyland la 1980's namshauri atoe na zile yutong na Marco polo pia,Je watu walikuwa hawazikwi kabla ya hadithi za wanamorogoro kushindwa kuzika wapendwa wao wakisubiri msaada wa bus la Leyland!?

Kihistoria mambo ya kuzika alianza Mzee Hood,alitoa bus la kuzikia ila alipokatwa katika kura za maoni akaacha kutoa bus,Mbinu hiyo ikadakwa na Mpinzani wake Abood akaanza kutoa bus akaenda nao utaratibu ambao ukawa mazoea kwa watu wa Morogoro,mwanzo alikuwa na timu ya watu wanafatilia kujua taarifa za misiba na kuleta taarifa kisha anaratibu msaada wa usafiri.

Mambo yakabadilika baada ya wananchi kujengewa mazoea na kunogewa na kupenda dezo,sasa wao ndiyo wanapigana vikumbo kuomba kusaidiwa usafiri na hata gharama zingine kama chakula kwenye msiba,

-Mbinu za Medani:Ilikuwaje amsifie halafu kesho yake amseme hadharani.

Mimi Msemakweli Chakubanga niliyefuzu mbinu za medani nilichokiona ni kama kuna matumizi makubwa yaliyopitiliza ya nguvu za kupuliza (nguvu za giza) kutoka kwa Mbunge kwani utaweza shangaa mwenyewe na hata mimi nashindwa kunyoosha vizuri maelezo yangu,najua hata mtaani nitatafutwa na chawa wake waliojaa kila mtaa wa Morogoro ili wanipoteze,

Mwaka 2016 Rais aliingia ghafla kwa kushitukiza Mjini Morogoro maeneo ya Msamvu akitokea Dodoma, alimpiga sana Mbunge,alimpa makavu live huku akiangalia ofisi yake ya bus na ofisi yake pale chini kilipokuwa kiwanda cha Mafuta Moproco, na hoja ya Rais ilikuwa hiyo hiyo na safari nyingine alikuwa katika wilaya za mkoa huo alikuwa anampigia uko,kuna siku alikuwa na ziara mkoani hapo cha ajabu alimsifia sana,kwani walimpokea wakampa maji ya kunywa mbinu za medani za kichawi zikafanya kazi,

Juzi akiwa katika uzinduzi wa soko pia alimsifia sana tena sana na yale mapokezi yalijulikana kuwa ya siku moja tu na mbinu za medani za kichawi zikaelekezwa kwa siku moja tu, sasa Mzee akaongeza siku za kukaa pale akiwa jukwaani yaani alibadirisha gia angani akaomba radhi wasaidizi wake kwa kuongeza siku ya pili,sasa hapa sisi watu wa mbinu za medani za nuru ya rohoni na uchawi tunaelewa vizuri kuwa nini kilishindwa baada ya kuongezwa ziara ya siku ya pili kusikotegemewa,

Siku iliyoongezwa ndiyo iliyo muumiza mbunge kwani haikuwepo katika utaratibu wa kimwili bali wa kiroho,uzuri Mh Rais ni mtu wa kiroho sana na ukitaka kumpata uende kiroho sio kwa medani za kichawi,ndiyo maana kesho yake akawa kama si yeye na kumpiga mbunge kama hamjui na kumgalagaza kwa hasira kwani hata yeye mzee anafika wakati haelewi alimsifiaje vile jana yake kwa hiyo alishusha nyingi za uso mpaka shoo ya mbele uwezi kuitambua ha ha ha.

Wapendwa katika medani ya kiroho na imani ipo haja ya kuombea Mkoa wa Morogoro kwa ujumla hasa pale Morogoro mjini kwani wale watu wa pale hawafanani na watanzania wengine kwa imani kuwa maiti zao zitaozea ndani kama Mbunge hakuleta masaada wa magali yake kwenda kuzika na hii pale inachukuliwa kuwa ni fadhila kubwa kuzidi chochote kilichofanywa hata kabla ya uumbaji na kuwa Mungu ndiyo amemleta Mbunge kwa kazi hiyo ya kuwazika,Sasa angalia Rais jinsi alivyo piga anasema huyu jamaa ameuwa viwanda na wanamorogoro wamekosa kazi na pesa mwishowe wana kufa na yeye anawazika tu,tuiombee Morogoro.

Mkoa wa Morogoro kuna watu wameufanya shamba lao la bibi,wakati fulani Rais akiwa Kilosa pia alichukizwa kuhusu mashamba,Morogoro inahitajika uongozi imara kuliko mikoa mingine kuanzia Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa idara zote ndani ya Halmashauri,ukiwa legelege kuna watu wanakuweka mkononi wanafanya yao, Pia mkoa wa Morogoro unaonyesha hauna vipaumbele vya mkoa wako kama vipio ni nadharia tu. Morogoro kuna kila kitu ila wananchi wake ni maskini sababu hazijulikani.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Wachawi wanapokwenda kuloga hujiondoa kimwili na kuwa kiroho.
SWALI,
Unaposema Rais ni mtu wa kiroho sana,unamaanisha ni mchawi zaidi au mcha Mungu zaidi?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Msomi fake anaye ngojea Mh. Rais aongee ndio aonganishe dots atunge story, so weak mentally, haya mambo ya kuongea au kuandika baada ya kujua matokeo ya jambo fulani yamepitwa na wakati, kwanini hujaandika haya kabla Mh. Rais hajasema? Umeandika tu baada ya Mh. Rais kusema.. It means ww ni mfuata upepo, huna firm base ya understanding of issues kabisa, ww you are firm on tissues, i.e petty issues, usomi wako wa vyeti tu, no competency, msomi hawi na tabia za hovyo hivyo. In general Morogoro imebakia nyuma sbb ya culture ya wana morogoro, wavivu sana, ni kweli Abood kafanya kosa kubwa kuua viwanda na kuua ajira na katumia advantage ya uvivu wenu kuwa tawala kwa kuwapa vizawadi vya bus kwenda kuzika. So Abood ni kweli hafai kabisa, hana maendeleo kwa Morogoo mjini bali maendeleo yake tu, so ww ungetakiwa uandike haya kabla Mh. Rais hajasema kitu ili tujue mambo haya mapema. Kazi yako ni fuata upepo. It means next month Mh. Rais akija akimsifia tena Abood utaandika kumsifia, wakati wote tunajua Abood hafai kabisa kuwa Mbunge wa Morogoro mjini, haleti maendeleo kabisa kwa watu.
Mimi Morogoro ipo moyoni,sisi watoto wa Morogoro tumekulia Morogoro kuishi tunakuja kuishi Dar maana Morogoro hakuna ajira,kwa hiyo Morogoro wapo wazee wetu tu,hili jambo linauma kwa kila aliyekulia Morogoro maana tukiwa wadogo Miaka ya 1980's tulikuwa tunaona viwanda vikiajiri maelfu ya watu,wakichukuliwa na bus asubuhi na kurudishwa jioni,Viwanda vya Vyombo vya Udongo (Ceramics) Moro Shoes,Polyster,Canvas,Moproco,Viwanda vya dawa za Kilimo,kiwanda Cha nyuzi za mkonge,kiwanda Komoa,kiwanda Cha mbegu za mazao yote,Kiwanda cha ngozi.
 
Msomi fake anaye ngojea Mh. Rais aongee ndio aonganishe dots atunge story, so weak mentally, haya mambo ya kuongea au kuandika baada ya kujua matokeo ya jambo fulani yamepitwa na wakati, kwanini hujaandika haya kabla Mh. Rais hajasema? Umeandika tu baada ya Mh. Rais kusema.. It means ww ni mfuata upepo, huna firm base ya understanding of issues kabisa, ww you are firm on tissues, i.e petty issues, usomi wako wa vyeti tu, no competency, msomi hawi na tabia za hovyo hivyo. In general Morogoro imebakia nyuma sbb ya culture ya wana morogoro, wavivu sana, ni kweli Abood kafanya kosa kubwa kuua viwanda na kuua ajira na katumia advantage ya uvivu wenu kuwa tawala kwa kuwapa vizawadi vya bus kwenda kuzika. So Abood ni kweli hafai kabisa, hana maendeleo kwa Morogoo mjini bali maendeleo yake tu, so ww ungetakiwa uandike haya kabla Mh. Rais hajasema kitu ili tujue mambo haya mapema. Kazi yako ni fuata upepo. It means next month Mh. Rais akija akimsifia tena Abood utaandika kumsifia, wakati wote tunajua Abood hafai kabisa kuwa Mbunge wa Morogoro mjini, haleti maendeleo kabisa kwa watu.
Nilikuwa kwenye kura za maoni,nilieleza hayo nikaishia kuzomewa na wajumbe,Ila wajumbe hao hao juzi wakapiga makofi Rais aliposema,
 
Leislie Mloka, nimekusoma muda mrefu ila nikawa nakuvutia pumzi tu... Hili bandiko lako lina conflict of interest kwa kuwa na wewe uligombea na Abood jimbo moja.
Kwa tunaokujua ulivyokuwa na uwezo mdogo darasani, sijui hata hayo madigrii uliyapataje.. Kwa kupitia wewe naamini kuwa miujiza kwenye elimu bado ipo!
Baba ako aliupata ubunge wa Morogoro kibahati, kwanza kwa kuwa ni Mluguru, pili kwa kuwa alikuwa manispaa na tatu kwa kuwa hakukuwa na mtu wa maana wa kugombea ndipo wakamuokoteza mzee wako aje kugombea.
Baba ako mwenyewe kwa kipindi kimoja alichokaa madarakani, hakuna cha maana alichokifanya Morogoro zaidi ya kujinunulia Landcruiser na kulifunga kitela cha kubebea mizigo.. Bora hata Abood anatoa bus linabeba wananchi.. Baba ako hakumjua mtu, hata watu bara barani alikuwa anawapita bila kuwapa lift.. Angekuwa muungwana, angewapakia hata kwenye kile kitela enzi hizo ambazo dala dala ilikuwa ni Msamiati.

Sasa basi, kama bahati aliipata mshua wako, sio lazima na wewe uipate.. Usitumie nguvu nyingi sana kujipromo ili upate teuzi.. Hivi vyeo huwa vinakuja tu, ukivilazimisha sana huwa havidumu na mwishowe huweza kukuumiza.
Kwa umri wako, bado unayo nafasi ya kujaribu tena 2025. Kwa sasa tafuta tu kazi ingine ya kufanya.
Wewe bado unawaza kupewa lift,si ajabu unafurahia bus moja la kuzikia,Mh Oscar Mloka aliweka mfumo mzuri Morogoro Mjini,ikapatikana barabara ya Bigwa,yeye ndio diwani wa kwanza hapo Morogoro Mjini kuweka taa za barabarani mtaa wake wa Kichangani enzi akiwa diwani 1995- 2000 yeye mtoa hoja ya kujengwa barabara ya Kichangani toka Prokula kwa Mapadri hadi Msamvu na kutoka nanenane hadi Kichangani,Mh Oscar Mloka,Mbunge wa Morogoro Mjini 2000-2005 ndiye Injinia aliyesanifu na kufanywa levelling stand ya Msamvu huku kila mtu asijue kama pale Msamvu panawezekana pakawa na stand,enzi hizo stand ilikuwa Mjini kwa Omary Awadh,alichokosea kuwa against na Merry Balabuu na Abood ndio waliosimama kukwamisha juhudi zote za Mh Oscar Mloka nae akaona sio tabu akamwachia shemeji yake Dr Omary Mzeru.
 
RAIS KAWAPA KITENDAWILI MOROGORO WAKITEGUE.

Leo 00:58hrs 14/02/2021

Je, wakazi wa Morogoro ni wavivu kushindwa kuzika wapendwa wao hadi wapate msaada kwa Abood!?basi lenyewe analolitoa kwenda kuzika ni lile Leyland la 1980's namshauri atoe na zile yutong na Marco polo pia,Je watu walikuwa hawazikwi kabla ya hadithi za wanamorogoro kushindwa kuzika wapendwa wao wakisubiri msaada wa bus la Leyland!?

Kihistoria mambo ya kuzika alianza Mzee Hood,alitoa bus la kuzikia ila alipokatwa katika kura za maoni akaacha kutoa bus,Mbinu hiyo ikadakwa na Mpinzani wake Abood akaanza kutoa bus akaenda nao utaratibu ambao ukawa mazoea kwa watu wa Morogoro,mwanzo alikuwa na timu ya watu wanafatilia kujua taarifa za misiba na kuleta taarifa kisha anaratibu msaada wa usafiri.

Mambo yakabadilika baada ya wananchi kujengewa mazoea na kunogewa na kupenda dezo,sasa wao ndiyo wanapigana vikumbo kuomba kusaidiwa usafiri na hata gharama zingine kama chakula kwenye msiba,

-Mbinu za Medani:Ilikuwaje amsifie halafu kesho yake amseme hadharani.

Mimi Msemakweli Chakubanga niliyefuzu mbinu za medani nilichokiona ni kama kuna matumizi makubwa yaliyopitiliza ya nguvu za kupuliza (nguvu za giza) kutoka kwa Mbunge kwani utaweza shangaa mwenyewe na hata mimi nashindwa kunyoosha vizuri maelezo yangu,najua hata mtaani nitatafutwa na chawa wake waliojaa kila mtaa wa Morogoro ili wanipoteze,

Mwaka 2016 Rais aliingia ghafla kwa kushitukiza Mjini Morogoro maeneo ya Msamvu akitokea Dodoma, alimpiga sana Mbunge,alimpa makavu live huku akiangalia ofisi yake ya bus na ofisi yake pale chini kilipokuwa kiwanda cha Mafuta Moproco, na hoja ya Rais ilikuwa hiyo hiyo na safari nyingine alikuwa katika wilaya za mkoa huo alikuwa anampigia uko,kuna siku alikuwa na ziara mkoani hapo cha ajabu alimsifia sana,kwani walimpokea wakampa maji ya kunywa mbinu za medani za kichawi zikafanya kazi,

Juzi akiwa katika uzinduzi wa soko pia alimsifia sana tena sana na yale mapokezi yalijulikana kuwa ya siku moja tu na mbinu za medani za kichawi zikaelekezwa kwa siku moja tu, sasa Mzee akaongeza siku za kukaa pale akiwa jukwaani yaani alibadirisha gia angani akaomba radhi wasaidizi wake kwa kuongeza siku ya pili,sasa hapa sisi watu wa mbinu za medani za nuru ya rohoni na uchawi tunaelewa vizuri kuwa nini kilishindwa baada ya kuongezwa ziara ya siku ya pili kusikotegemewa,

Siku iliyoongezwa ndiyo iliyo muumiza mbunge kwani haikuwepo katika utaratibu wa kimwili bali wa kiroho,uzuri Mh Rais ni mtu wa kiroho sana na ukitaka kumpata uende kiroho sio kwa medani za kichawi,ndiyo maana kesho yake akawa kama si yeye na kumpiga mbunge kama hamjui na kumgalagaza kwa hasira kwani hata yeye mzee anafika wakati haelewi alimsifiaje vile jana yake kwa hiyo alishusha nyingi za uso mpaka shoo ya mbele uwezi kuitambua ha ha ha.

Wapendwa katika medani ya kiroho na imani ipo haja ya kuombea Mkoa wa Morogoro kwa ujumla hasa pale Morogoro mjini kwani wale watu wa pale hawafanani na watanzania wengine kwa imani kuwa maiti zao zitaozea ndani kama Mbunge hakuleta masaada wa magali yake kwenda kuzika na hii pale inachukuliwa kuwa ni fadhila kubwa kuzidi chochote kilichofanywa hata kabla ya uumbaji na kuwa Mungu ndiyo amemleta Mbunge kwa kazi hiyo ya kuwazika,Sasa angalia Rais jinsi alivyo piga anasema huyu jamaa ameuwa viwanda na wanamorogoro wamekosa kazi na pesa mwishowe wana kufa na yeye anawazika tu,tuiombee Morogoro.

Mkoa wa Morogoro kuna watu wameufanya shamba lao la bibi,wakati fulani Rais akiwa Kilosa pia alichukizwa kuhusu mashamba,Morogoro inahitajika uongozi imara kuliko mikoa mingine kuanzia Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa idara zote ndani ya Halmashauri,ukiwa legelege kuna watu wanakuweka mkononi wanafanya yao, Pia mkoa wa Morogoro unaonyesha hauna vipaumbele vya mkoa wako kama vipio ni nadharia tu. Morogoro kuna kila kitu ila wananchi wake ni maskini sababu hazijulikani.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Mambo ya maccm Ni ya kipumbavu
 
Hilo basi lenyewe likiletwa linakaa kidogo dereva analiondoa anasema mnachelewachelewa anataka kulipeleka kwenye msiba mwingine ni manyanyaso tupu
 
msemakweli chakubanga on the way
 
Chichiemu ni chama cha kishetani & kigaidi,yanakulana yenyewe kwa yenyewe kama mafisi
 
Namshauri abood ajiuzulu ubunge
 
Hizi njaa, ndugu yangu hiyo cv na simu unatafuta uteuzi tu, jifunze ona hata aibu
 
Wewe jamaa mjinga sana...simtetei Abood ila kwa jinsi ulivyoandika unaonesha ni mtu wa kujikomba...na kudandia vitu ukitaka kupata favour ya kuteuliwa.
Una uhakika Kwamba Abood anatoa Leyland kuzikia?
Punguza kiherehere.....
Hao wanaomsakama Abood na wao wana madhambi kibao...mfano tu Kuanzia Mh Rais.....nyumba alizogawa je?
Ila Abood kama aliona hawezi ni bora angerudisha tu Serikalini..
Lakini kwa jinsi ambavyo nchi ya Tanzania ilivyo huyo ambaye angepewa angelifanya haya haya ya Aziz Abood.
Kwa nini avirudishe serikalini wakati alivinunua kihalali?isitoshe why always Abood? Viwanda vikubwa sana Morogoro na Tanzania vilivyoajiri maelfu ya watu vimefungwa.kiwanda cha Tumbaku kilibinafshishwa kimefungwa kwa nini?mazava kimefungwa kwa nini?cha mazulia kilosa,cha ceramic,cha Bora,mwatex,mutex, vote havipo.kaonekana Abood tu.huu ni uonevu mkubwa.mnyonge myongeni haki yake mpeni.Sisi wana moro ndio tunaojua Abood katufanyia nini.Chuki binafsi hazifai.
 
Magu alikuwa anataka amnyang'anye awape maswahiba zake, Mungu Fundi lakini.
 
Back
Top Bottom