Rais Kagame na Ramaphosa

Rais Kagame na Ramaphosa

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
1747152639105.png



Siku za nyuma walirushiana maneno makali, na hakuna alietegemea kicheko cha namna hiyo, ila walionyesha kuwa siasa inaishia ofisini, na tofauti hazimaanishi watu ni maadui.
 
Africa unafiki hautaisha haijapita hata miezi sita tangu wanajeshi wake wauwawe na m23/RDF leo wanapiga story like nothing happened
Lakini wanasemaga siasa ni faida. Hakuna rafiki au adui wa kudumu
 
Back
Top Bottom