ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Imeendelea kivipi?
Bi kiboga, rais haendelezi nchi kama mnavyopenda kuaminishwa ... watu wenyewe ndiyo wanaoendeleza nchi.
GDP ya Tanzania ni dola bilioni 28, ya Rwanda dola bilioni 7.
Poverty head count ya Tanzania ni 28% ya Rwanda ni 44%.
Hayo maendeleo unayoyazungumzia ni yapi??? ... Acheni unafiki.
Asante kaka sasa hivi mwendo wa data tu