jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
naona wameanza kutuondosha kwenye mada, mada ni kuwa paul kagame ni coward. Ana tumia twitter account moja kuongea na wazungu, na nyingine kutukana wanaume kama Kikwete akiwa amejificha kama anonyomous user, hana balls za kuongea na wanaume kama mwanaume with nothing to hide, sijui ana chembechembe za anti-m7? Mwanaume gani anaogopa kusema wazi msimamo wake?