Rais Kagame amesema , Rwanda itategemea sayansi katika mapambano dhidi ya CORONA

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Rais Kagame amesema Rwanda itategemea science katika mapambano dhidi ya CORONA. Amesema hayo akijibu swali la mwandishi alie muuliza kuhusu dawa ya Madagascar, "tunategemea zaidi Sayansi kuna mengi ya kujifunza kuhusu hiki kirusi na namna ya kukabiliana nacho " alisema Kagame.

========

On May 1, Madagascar President Andry Rajoelina announced with photos on his social accounts that he had held a conference call with fellow African leaders.

Among them was Rwanda’s President Paul Kagame, South Africa’s Cyril Ramaphosa, Gabon’s Ali Bongo Ondimba, Kenya’s Uhuru Kenyatta, Egyptian Abdel Fattah el-Sisi, and Nigeria’s Muhammadu Buhari. All regions were significantly represented.

President Rajoelina announced that his country would offer free Tambavy CVO medicine to all hospitals in Africa. He was referring to a supposed miracle treatment for the COVID-19 virus, which has attracted praise, excitement, silence and rebuke from every corner.

Photos have circulated of thousands of people lining up to drink bottles of the said medication in Madagascar. Launched as Covid-Organics, it is produced from the artemisia plant – the source of an ingredient used in a malaria treatment – and other Malagasy plants.

“Tests have been carried out – two people have now been cured by this treatment,” Mr Rajoelina said at the launch of Covid-Organics at the Malagasy Institute of Applied Research (Imra), which developed the tonic, April 21.

“This herbal tea gives results in seven days,” said the 45-year-old president, who also urged people to use it as a preventative measure.

“Schoolchildren should be given this to drink… little by little throughout the day,” he told the diplomats and other dignitaries gathered for the launch.

The medicine was being marketed in a bottle and as a herbal tea after being tested on fewer than 20 people over a period of three weeks.

As of May 4, Madagascar had recorded total of 149 cases of the virus. However, 99 of them have cured, a 66.4% rate – a rare feat globally. All these cures have been attributed to the Tambavy CVO medication.

Various African countries including DR Congo have sent government-chartered planes to pick the bottled medication from Madagascar. On Sunday, Tanzania’s President John Pombe Magufuli cast doubt over the virus and test kits, most of which are coming from China, and revealing pawpaw, goat, car oil and sheep samples had tested positive. He announced that he’d sent a plane to bring the Madagascar cure.

One key voice missing from this chorus of African excitement over the Madagascar initiative, has been President Paul Kagame.

All President Kagame’s official engagements like local and foreign meetings are announced by his official Twitter and Facebook accounts. The conference call on May 1 which the Madagascar President held, was not announced in Rwanda.

The explanation for this quiet, though not said publicly, came from a press conference Kagame had with local and foreign media in Rwanda earlier on April 27. He spoke about a range of issues, but largely on Rwanda’s battle against the global pandemic.


Asked about the miracle cures for the virus that are emerging, including that of Madagascar, Kagame’s answer shocked many, but was received with relief in the scientific community. There was evidence of that on social media, people with science backgrounds praised his stance.

“For me and other leaders in this country, we give precedence to science,” responded Kagame. “There is still much to understand about this virus and how to respond. We have Rwandans working on ventilators….There are international efforts, be it on getting the cure, immunisation and anything else, there are local efforts and we are also working with international partners.”

With this statement, the scientific community had their man. “Thank you Mr. President!” wrote on Twitter, Nathalie Munya, the Managing Director of the Next Einstein Forum, as well as Global Communications Director for the African Institute for Mathematical Sciences (AIMS).

In Kagame keeping the distance away from the Madagascar medicine, is no indication of inexistent relations with President Rajoelina. Actually, they enjoy a very cordial relationship. In June last year, during Madagascar’s independence celebrations Kagame was biggest guest in town. The two leaders even held a joint press conference and state banquet was prepared for Kagame and First Lady Jeannette Kagame.

Chanzo: Kagame Not Excited About Madagascar COVID-19 “Cure”, Prefers to Listen to “Science”

=========

MAONI YANGU:

Siku ingine tujitahidi sana tunaposema kuwa akina Fulani ni Role Models wetu basi angalau uwe una hata 50% tu ya ama Uwezo wao wa Kiakili au Utendaji wao vinginevyo Watu wenye Upeo mkubwa watazidi Kukushangaa, Kukucheka na Kukuona ni Bogus fulani hivi japo utajifanya upo vizuri.

Mimi nilidhani ukiwa ni Mwanasayansi na unajiaminisha hivyo Kwetu 24/7 basi hata Mawazo yako yatakuwa ni ya Kisayansi pia.
 
Huyo mwandishi wa habari atakuwa ametumwa na mabeberu hadi akauliza swali chonganishi kiasi hicho.

Tusitishane bwana.

Kwani lazima tuige sayansi za wazungu?
Hizo dawa zao zitawekwa na virus vya corona. Tuko kwenye vita lazima tupambane

Alisikika Kichaa jiwe akijisemesha baada ya kumsikia best wake akirusha jiwe gizani
 
Sayansi imeprove "upopoma" kwenye hili janga.

Ndugu hili neno la popoma lina maana gani kwani huwa naliona sana tu likitumika hapa na Watu mbalimbali katika Uwasilishaji.
 
Ndugu hili neno la popoma lina maana gani kwani huwa naliona sana tu likitumika hapa na Watu mbalimbali katika Uwasilishaji.

Fatilia tu mjadala utaona upopoma uliotukuka, maana yake inatumika kwa watu ambao hawako talented and charismatic katika kuwasilisha mambo
 
Hawa madikteta wa east afrika wameonyesha kua na upeo mkubwa sana wakati huu, huyu dikteta wa wasukuma tu ndiye kabaki nyuma anategemea uchawi. Kagame safi sana, sio kujifanya unaweka sayansi pembeni huku kil unachotumia hadi nguo unazovaa zimetokana na sayansi hiyohiyo unayoipinga, nyambaf kabisa.

Kuna sababu jiwe huwezi mkuta ameenda kwenye mkutano na hawa jamaa, anajua kabisa upeo wao upo juu sana anabaki kumtuma mama samia, tatizo sio ngeli tatizo wanamshinda upeo, ataishia kutaja tu boiling point ya copper kudadeki
 
Mheshimiwa wetu ana MSC + Phd ya kemia, lakini pia ni mtetezi wa tiba asili. Tumuelewe kisha changanya na za kwako
12036961_1650927855197025_3723430997684413065_n.jpg
 
Hawa madikteta wa east afrika wameonyesha kua na upeo mkubwa sana wakati huu, huyu dikteta wa wasukuma tu ndiye kabaki nyuma anategemea uchawi. Kagame safi sana, sio kujifanya unaweka sayansi pembeni huku kil unachotumia hadi nguo unazovaa zimetokana na sayansi hiyohiyo unayoipinga, nyambaf kabisa.

Kuna sababu jiwe huwezi mkuta ameenda kwenye mkutano na hawa jamaa, anajua kabisa upeo wao upo juu sana anabaki kumtuma mama samia, tatizo sio ngeli tatizo wanamshinda upeo, ataishia kutaja tu boiling point ya copper kudadeki
U Made my day ndugu..,boiling point point
 
Kagame atulie aisee,aache 'kutumiwa' na mabeberu.

Huku kuna wakina Matunge herbalist wataleta tiba.
 
Back
Top Bottom