Rais Kabila Kageuka Kuwa Mobutu

Rais Kabila Kageuka Kuwa Mobutu

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
image.jpeg


Baada ya kuingia madarakani kwa njia ya mtutu yeye na Marehemu baba yake ameamua kutawala kwa mtutu wa bunduki. Rais Kabila anatakiwa kujifunza kwa aliyekuwa Rais wa Haiti Baby Doc aliyetawala nchi ya Haiti kutoka 1971-1986 na kupinduliwa kwa nguvu ya umma Baby Doc alitwaa madaraka kutoka kwa baba yake Papa Doc aliyetawala nchi hiyo kutoka 1957-1971,
 
huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
 
Yah ila katika kitu kimoja tu,otherwise kabila is worse than mobutu,,kabila hafanyi maendeleo na kaongeza tu pinsecurity congo,toka yy na baba ake waingie madarakani zaid ya watu 3mill wamekufa
 
huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
wanaogopa kushtakiwa maana kuna mengi wameyafanya yasiyo yakawaida yakiibuliwa ni hatari sana kwao.
 
huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
Shida inakuja kwa aliyoyafanya akiwa madarakani ana hofu ya kuja kufanyiziwa na yeye,ndo maana kuna wengine baada ya kuona mda unaenda wanataka kuongeza iwe miaka 7 maana wanajua wakitoka hapo nini na wao kitawapata.
 
Huyu bwana mdogo mwisho wake hautakuwa mzuri sana. The guy has atleast US$ 10 billion, stashed safely out of the Country. What else can a man want? Huyu atakuja kula shaba tu.
 
ajifunze kitu gani kipya ?? maraisi wa africa ote mbwaaaa tu wanauwa wanaainchi bila sababu
 
huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
Tamaaa
 
Afrika tulipewa uhuru ki makosa kabisa, tungeacha wazungu watutawale milele, leo Afrika ingekuwa "Heaven On Earth".

Lkn kwa tamaa na ulafi wa kutawala tukang'ang'ania eti kudai uhuru sasa matokeo yake kila mwenye macho anaona.....!!!!.

Tuko tayari kufa baharini ili mradi tufike Ulaya. Afrika haina chochote kizuri cha kufanya wengine waige! Ni hayo hayo tunayoyaona kwa akina Kabila na wa sampuli yake ambao ndio wengi. Oooh, Poor Africa.
 
Huyu bwana mdogo mwisho wake hautakuwa mzuri sana. The guy has atleast US$ 10 billion, stashed safely out of the Country. What else can a man want? Huyu atakuja kula shaba tu.
Ale shaba tu huyu atoke....madaraka yanalevya sana....
 
Afrika tulipewa uhuru ki makosa kabisa, tungeacha wazungu watutawale milele, leo Afrika ingekuwa "Heaven On Earth".

Lkn kwa tamaa na ulafi wa kutawala tukang'ang'ania eti kudai uhuru sasa matokeo yake kila mwenye macho anaona.....!!!!.

Tuko tayari kufa baharini ili mradi tufike Ulaya. Afrika haina chochote kizuri cha kufanya wengine waige! Ni hayo hayo tunayoyaona kwa akina Kabila na wa sampuli yake ambao ndio wengi. Oooh, Poor Africa.
Na eti tukawafukuza na bado tukaendeleza system yao ya kutawala!
 
Mtu anayetegemea Kuwa rais ni vizuri awe na akili kubwa kuliko huo urais,wengi wanakuwa na hofu na ya kupoteza heshima,utukufu,uheshimiwa nk.wanasahau cheo ni kitu cha kupita.
 
Back
Top Bottom