Rais Kabila Asisitiza Kuwa Uchaguzi DRC Utafanyika Desemba 2018

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Rais Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Disemba.
Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Katika mkutano na wanahabari kuadhimisha miaka 17 madarakani, aliahidi kwamba uchaguzi huo utafanyika mwisho wa mwaka huu.
Kulingana na mwandishi wa BBC Alex Duval Smith mkutano huo na vyombo vya habari mjini Kinshasa ulikuwa wa kwanza katika kipindi cha miaka mitano.Na ulichukua saa tatu.
Aliikosoa Monusco akisema ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa hauko nchini DRC ili kuendesha shughuli za taifa hilo.
Katika shutuma dhidi ya muungano wa Ulaya na Marekani, ambao wamekosoa makabiliano dhidi ya waandamanaji, alisema: DRC sio koloni .Taifa hili lazima liheshimiwe.Alionekana akilikumbusha kanisa katoliki akisema kuwa maandamano yanayofanywa na wakristo dhidi ya serikali yake yanafaa kuruhusiwa lakini waandalizi ni lazima washtakiwe.
Serikali hiyo hivi majuzi ilitangaza kwamba uchaguzi utafanyika tarehe 23 Disemba, ikiwa ni miaka miwili baada ya kukamilika kwa muda wa utawala wa rais huyo.
Chanzo: BBC
 
Uyo kabila anakataa kuachia madaraka alafu wanajeshi wa Tz wanahenda huko kulinda amani mpaka wanapata masaibu...so sad
 
Huo ndio msimamo wa mwanaume kamili sio anae tishika na vinchi vya mabepari ili wakati vurugu zikiendelea wao wachote Mali za wakongo...

Pia Uganda na Rwanda waache kutumika na ufaransa!!
Shirika la ndege la ufaransa, lufutanza wanamiliki ndege kutokana na Mali za uwizi kutoka Kongo!

Ila mwanaume kamili anasikiliza ushauri ila sio kama huyu wa bandari salama akilala akiamka alicho ota anapeleka kwa public, ajaribu kwenda kariakoo akaone mchakato wa utengenezwa juice hadi inaingia mtaani unakuwaje....

Kila kitu na process zake sio kukurupuka kama nabii male au toti!!
 
Hizo pesa za uchaguzi waende wakafanyie kilimo tu, seriously.., kama rais anajulikana ya nini kupoteza pesa?
 
Rais Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Disemba.
Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Katika mkutano na wanahabari kuadhimisha miaka 17 madarakani, aliahidi kwamba uchaguzi huo utafanyika mwisho wa mwaka huu.
Kulingana na mwandishi wa BBC Alex Duval Smith mkutano huo na vyombo vya habari mjini Kinshasa ulikuwa wa kwanza katika kipindi cha miaka mitano.Na ulichukua saa tatu.
Aliikosoa Monusco akisema ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa hauko nchini DRC ili kuendesha shughuli za taifa hilo.
Katika shutuma dhidi ya muungano wa Ulaya na Marekani, ambao wamekosoa makabiliano dhidi ya waandamanaji, alisema: DRC sio koloni .Taifa hili lazima liheshimiwe.Alionekana akilikumbusha kanisa katoliki akisema kuwa maandamano yanayofanywa na wakristo dhidi ya serikali yake yanafaa kuruhusiwa lakini waandalizi ni lazima washtakiwe.
Serikali hiyo hivi majuzi ilitangaza kwamba uchaguzi utafanyika tarehe 23 Disemba, ikiwa ni miaka miwili baada ya kukamilika kwa muda wa utawala wa rais huyo.
Chanzo: BBC
Huyu Dogo asipokuwa makini yatampata kama yaliompata Baba yake.very Shame.!!!.
 
Huo ndio msimamo wa mwanaume kamili sio anae tishika na vinchi vya mabepari ili wakati vurugu zikiendelea wao wachote Mali za wakongo...

Pia Uganda na Rwanda waache kutumika na ufaransa!!
Shirika la ndege la ufaransa, lufutanza wanamiliki ndege kutokana na Mali za uwizi kutoka Kongo!

Ila mwanaume kamili anasikiliza ushauri ila sio kama huyu wa bandari salama akilala akiamka alicho ota anapeleka kwa public, ajaribu kwenda kariakoo akaone mchakato wa utengenezwa juice hadi inaingia mtaani unakuwaje....

Kila kitu na process zake sio kukurupuka kama nabii male au toti!!
lufthanza siyo ya mfaransa bali ni ya mjerumani
 
Wanajeshi wanauawa kwa sababu zake binafsi na hizo Nchi afanye aachie madaraka yatamkuta ya Kabila mwenyewe...
 
Huo ndio msimamo wa mwanaume kamili sio anae tishika na vinchi vya mabepari ili wakati vurugu zikiendelea wao wachote Mali za wakongo...

Pia Uganda na Rwanda waache kutumika na ufaransa!!
Shirika la ndege la ufaransa, lufutanza wanamiliki ndege kutokana na Mali za uwizi kutoka Kongo!

Ila mwanaume kamili anasikiliza ushauri ila sio kama huyu wa bandari salama akilala akiamka alicho ota anapeleka kwa public, ajaribu kwenda kariakoo akaone mchakato wa utengenezwa juice hadi inaingia mtaani unakuwaje....

Kila kitu na process zake sio kukurupuka kama nabii male au toti!!
Mara nyingi tunawapa vichwa hawa madikteta.
Kabila is supposed to be executed.
 
Like father like son...tatizo wana tamaa ya pesa and he is about to be chased away from the power.
Mkuu,
Nikukumbushe kidogo, umesema: " Hawa wana tamaa ya Pesa" hili sio swala la pesa.
Mtu anapopata fursa ya madaraka humilikiwa na pepo au jini la madaraka na kumtawala vilivyo. Kukanyaga carpet nyekundu, kulakiwa na kutukuzwa kila aendako, kufunguliwa mlango, kumiliki na kukemea himaya ndivyo ndivyo huwasumbua watu kama hawa.Kabila ana pesa za ajabu asingesumbuka.
 
Huo ndio msimamo wa mwanaume kamili sio anae tishika na vinchi vya mabepari ili wakati vurugu zikiendelea wao wachote Mali za wakongo...

Pia Uganda na Rwanda waache kutumika na ufaransa!!
Shirika la ndege la ufaransa, lufutanza wanamiliki ndege kutokana na Mali za uwizi kutoka Kongo!

Ila mwanaume kamili anasikiliza ushauri ila sio kama huyu wa bandari salama akilala akiamka alicho ota anapeleka kwa public, ajaribu kwenda kariakoo akaone mchakato wa utengenezwa juice hadi inaingia mtaani unakuwaje....

Kila kitu na process zake sio kukurupuka kama nabii male au toti!!
Luftansa ni shirika la ndege la Ujerumani
 
Mkuu,
Nikukumbushe kidogo, umesema: " Hawa wana tamaa ya Pesa" hili sio swala la pesa.
Mtu anapopata fursa ya madaraka humilikiwa na pepo au jini la madaraka na kumtawala vilivyo. Kukanyaga carpet nyekundu, kulakiwa na kutukuzwa kila aendako, kufunguliwa mlango, kumiliki na kukemea himaya ndivyo ndivyo huwasumbua watu kama hawa.Kabila ana pesa za ajabu asingesumbuka.
Nimekusoma...hayo yote yapo,lakini kwa upande wa pili tusikatae uwepo wa msukumo wa fedha.
Vita ya DRC inatokana na utajiri wa madini ambao wanao.Wapinzani na serikali wote wanajua hilo.Maeneo kama Buyjimai,Katongo n.k(sorry kama nimekosea spelling) yana utajiri lukuki wa madini.Na hayatokaa salama miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom