Rais Joyce Banda na chama chake wanakaribia kuangushwa ktk uchaguzi Malawi!

Huko kuuwana kwetu kuna sababu zake, tulipata uhuru kwa mapanga. Demokrasia na vyama vingi tukavipata kwa damu na machozi na ndio maana akajaribu mtu kuchepua, huwa tunainua mapanga kwa haraka ili kulinda uhuru tulionao. Usidhani kutoa chama kilichoanza tokea uhuru ni jambo rahisi na hakika tumeapa haturudi tena huko, vyama lazima tubadilishe uongozini.
Sasa hivi kwa jinsi mambo yalivyo, naona hata miaka mitano Jubilee wanaweza wasikamilishe, tanawaangalia kwa darubini ya mbali. Nguvu tunazo, uwezo tunao nia tunayo......

Hapo kwenye red alisema Nyerere, weka muaknowledge basi

Mwaka 2007 mlimuinulia nani mapanga?

Kwanza Kenyatta anatakiwa the hague.
 
Back
Top Bottom