Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.
Umesahau mkuu. Amesema na "barabara hewa" akasahau kuwa yeye ndo alikuwa waziri wa ujenzi. Rais ana kausanii Fulani
 
Hivi kampeni za 2020 zimeaanza...manake hii hotuba imetolewa sehemu ambayo sio pake....wrong place to the wrong audience and at a wrong time.

Huyu jamaa anashida au ugonjwa flani hivi nadhani.......and he does not know it. Kwanza hawezi kufanya kitu kimoja akamaliza alafu anafanya vitu kwa misisimuko yake zaidi kuliko kiutalaalam. Alipaswa kutoa speech za kuunganisha taifa.......kueelezea faida za library, itajengwa kwa capacity gani.....itawasaidia watu kivipi na watu gani...what are the state of the art...nk. Vyuoni kuna wataaalamu wa aina nyingi.

Na yeye mzee kikwete kwa kumsaidia tu, chuo kazi yake sio kutoa viongozi tu, bali hata wataaalamu mbali mbali, wanasayansi nk. Huyu mh sana pombe hivi ndo vitu ingebidi speech yake ielezee, sio mipasho ya kuwa kejeli wapinzani.

Anaongea maneno meeeengi ya vijiweni yasiyo na kichwa wala mkia...tena mbele ya maprofesa. Sasa habari za kuwafukuza wanafunzi hao maprefesa inawasaidia nini? Umeshawafukuza sasa kwa hiyo unajielezea ili iweje, are you guilty or sadist unayefurahia wenzako wakiwa kwenye matatizo? Sentensi moja tu ilikuwa inatosha kuelezea wanafunzi UDOM.
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno no ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.

Balabala = barabara

Tayali = Tayari

Mwingeleza Mwingereza
 
Hivi nyie wasanii hamuwezi kuzungumzia jambo lolote lazima mchomekee bunge live?
Inaoneka bunge kutoonekana live limawapunguzia sana uwezo wenu wa kujifanya mna uchungu na nchii kumbe ni mafisadi tu
Sasa mbona nawe unazungumzia bunge live?
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.
Kwenye ngazi ya familia hiki kitu huitwa gubu.
 
Yaani wewe ndo kilonzo kweli, kwahiyo umeona tambi kupanda tu???
huo ni mfano ili ujue uchumi wako lazima uanzie na vitu vidogo ambavyo watu wengi na wenye kipato cha chini wanatumia, pole sana kwa ujuaji!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.

Aliposema "mzee wangu kikwete umeniachia mzigo mzito" alimaanisha URAIS as a whole ni mzigo mzito,alipomuachia URAIS ni sawa na kumuachia mzigo mzito.
 
mzee wala usipate shida maccm ni wasanii tu hawana lolote hiyo ndio ccm inetawala bongo kwa miaka 54 sasa hiyo ni triki moja wapo yakuiba kura 2020 ili.wakiiba kura wasilaumiye waseme wananchi wanatupenda
 
Back
Top Bottom