Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

Sumve 2015

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
4,349
3,975
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.

teh teh teh.

Uzuri wa Kikwete hakuumbwa na aibu, hata umpige madongo hadharani anaishia kucheka cheka tu, kesho yake akimwalika hata kwenye kamsiba ka mtoto wa balozi wa nyumba kumi anatia timu tena kwa mbwembwe zote.

Huyo ndio JK mswahili pure......
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.
hahahaha mwingeleza kweli wewe ni mtanzania halisi kwa lugha hii unatakiwa uhame nchi wa kwanza wewe
 
Kwa hiyo Rais Magufuli kulialia kwake huko tu tayari kumeshamfanya awe Rais Bora.

Mbona hazungumzii mshahara na Marupurupu ambayo hayatofautiani na ya mtangulizi wake anayopewa?Maana aliahidi atatoa nyaraka za malipo yake baada ya likizo yake fupi ya pasaka

Amiri Jeshi Mkuu anayelalama lalama barabarani kwa kumlalamikia mtangulizi wake anaonyesha udhaifu mkubwa sana

Inamaana hata suala la Sukari alirithi kwa Utawala wa JK?

Suala la kudhoofisha bunge kama chombo cha kuisimamia serikali alirithi kwa JK?

Kama hana Unafiki ni kwanini anafumbia macho suala la Bunge maana mtu asiye na chembe ya Unafiki anapenda mambo yawe wazi

Unasema eti bunge kuonyeshwa live humaliza muda wa wananchi ,mbona yeye alikua akihutubia akiwa Live TBC?

Kama huu sio unafiki basi labda sijui maana ya Unafiki

Kama yeye yupo real arejeshe Rasimu ya Wananchi tulijenge taifa upya tutatue matatizo kimfumo once and for all.

Kulalamikalalamika kwake huko hakumfanyi kuwa Rais Bora

Nimemshangaa eti anawaambia wanafunzi wasifanye siasa au wasitumiwe na wanasiasa wasubiri wamalize Chuo.

Wiki iliyopita Huyo Mzee wake JK ambaye ni Mwenyekiti wa CCM alikua akiwasifia Wanafunzi wanaounda Shirikisho la Vyuo Vikuu wa CCM .Leo Rais Magufuli anasema mengine

Halafu kuna wanafunzi wanasoma political Science sijui alimaanisha nini.Wakati Mwingine tusisifie vitu kishabiki tu.Tufikirie kwa kina.Ndio maana Babu wa Loliondo na Upatu wa DECI walitukomesha.

Kweli Unafiki ni kitu kingine
 
Nadhani tumepata rais mbovu kuliko wote tangu nchi hii iumbwe. Aliposema hatosoma hotuba yake na badala yake atapiga hivo hivo niliwaambia niliokaa nao subirini vituko
 
Mbumbumbu haeleweshwi mtaendelea kumkebehi magu mpaka mwisho wa maisha yenu lakini nchi itabakia mikononi mwa ccm
 
Maisha magumu uchumi umesimama afu analalama lalama kwani hakujua hayo alipokua anagombea? Alilazimishwa,huyu ndio zigo la Taifa kwa sasa huyu rais wa bahati mbaya atatutia hasara sana ila kwa wajinga mtamwona wa maana,hana hata staha ya kauli.Bora uwe na rais fisadi lakin mweledi wa uchumi wa soko kuliko mwadilifu lakini mjamaa/mjima kama huyu.Badala ya kufanyia reforms economic structural discrepancies analialia,itusaidie nini wananchi? Alete rasimu ya Warioba
 
Kwa hiyo Rais Magufuli kulialia kwake huko tu tayari kumeshamfanya awe Rais Bora.

Mbona hazungumzii mshahara na Marupurupu ambayo hayatofautiani na ya mtangulizi wake anayopewa?Maana aliahidi atatoa nyaraka za malipo yake baada ya likizo yake fupi ya pasaka

Amiri Jeshi Mkuu anayelalama lalama barabarani kwa kumlalamikia mtangulizi wake anaonyesha udhaifu mkubwa sana

Inamaana hata suala la Sukari alirithi kwa Utawala wa JK?

Suala la kudhoofisha bunge kama chombo cha kuisimamia serikali alirithi kwa JK?

Kama hana Unafiki ni kwanini anafumbia macho suala la Bunge maana mtu asiye na chembe ya Unafiki anapenda mambo yawe wazi

Unasema eti bunge kuonyeshwa live humaliza muda wa wananchi ,mbona yeye alikua akihutubia akiwa Live TBC?

Kama huu sio unafiki basi labda sijui maana ya Unafiki

Kama yeye yupo real arejeshe Rasimu ya Wananchi tulijenge taifa upya tutatue matatizo kimfumo once and for all.
W
Kulalamikalalamika kwake huko hakumfanyi kuwa Rais Bora

Nimemshangaa eti anawaambia wanafunzi wasifanye siasa au wasitumiwe na wanasiasa wasubiri wamalize Chuo.

Wiki iliyopita Huyo Mzee wake JK ambaye ni Mwenyekiti wa CCM alikua akiwasifia Wanafunzi wanaounda Shirikisho la Vyuo Vikuu wa CCM .Leo Rais Magufuli anasema mengine

Halafu kuna wanafunzi wanasoma political Science sijui alimaanisha nini.Wakati Mwingine tusisifie vitu kishawbiki tu.Tufikirie kwa kina.Ndio maana Babu wa Loliondo na Upatu wa DECI walitukomesha.

Kweli Unafiki ni kitu kingine
Hivi nyie wasanii hamuwezi kuzungumzia jambo lolote lazima mchomekee bunge live?
Inaoneka bunge kutoonekana live limawapunguzia sana uwezo wenu wa kujifanya mna uchungu na nchii kumbe ni mafisadi tu
 
"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.

Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.

Hizo barabara hewa nani alizisimamia?!!
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom