Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Ipo stunning report Facebook imetumwa na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu anasema;
Jina lake halisi ni Hyporite[Hypolite] Kanambe na ni Mtusi wa Rwanda kwa baba na mama pia ni mpwa kabisa wa Waziri wa ulinzi wa Rwanda James Kabarebe.
Baba yake ni nani?
Baba yake Joseph Kabila Adnan Christopher Kanambe alikuwa swahiba mkubwa wa Laurent Desire Kabila. Hata kwenye vita mbalimbali walishirikiana pamoja. Alipofariki Adnan Kanambe ndio Desire Kabila akamuoa mama take Hypolite Kanambe.
Mazingira ya kifo cha Adnan C. Kanambe yamekuwa ya utata kidogo mpaka Leo .Duru za uchambuzi zimedai kuwa Mzee Kabila anahusika lakini bado hazijakuwa wazi kabisa.
Ni kwli alikuwa anashurikiana na Kabila katika masusla ya vitaya msituni huko Congo ijspokuwa Adnan Kanambe alikuwa Mnyarwanda. Ngome yao ilikuwa karibu na Lake Tanganyika.
Makubsliano yao ilikuwa ni kumuondoa madarakani Mobutu kwanza halafu baadaye kuing'oa serikali ya Habyarimana.
Wanasema kwamba Adnan Kanambe yaani baba yake Joseph alikuwa jasiri sana kwenye medani za vita lakini wakati mwingine tactics zake nilikuwa zinawacost sana wanajeshi wao kutokana na kipigo cha jeshi la Mobutu.
Leo naishia hapa kwa kukaribisha maswali.
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu.
Kwa Tanzania
+255 679 555 526
+255 765 502 057
Kwa Rwanda
+ 250 073 315 3930
+250 788 214 234
Kwa DRC
+ 243 977 860 824
mbwanaallyamtu990@gmail.com