Rais John Magufuli mjamaa aliyestahili kuongoza Tanzania baada ya Mwalimu Julius Nyerere

Kweli waliosema akili ni Mali hawakukosea,hata angekuwepo raisi anayefanana na dhahabu kwa kipindi kile angeshindwa maana katika kipindi hicho kulifanyika mabadiliko ya kiuchumi.

Nchi zilizokuwa zinafuta mlengo wa ujamaa ziliwekewa sanction na IMF&WB-iliwalazimu kuingia katika Sera za ubepari-ubinafsishaji.
 
Tujifunze kuheshimu maamuzi yaliyofanywa katika kila awamu kwani yalifanywa kwa sababu zake ambazo kwa wakati huo yalikuwa ni ya kizalendo pia. 1980-1990 ni kipindi kigumu ever nchi ilichopitia. Hakuna mahitaji, hakuna miundombinu, sera za ujamaa zilishafeli, uzalishaji viwandani umekufa, ilibaki zamu ya "mabeberu" tu kuamua hatima ya nchi. Nyerere alianzisha majadiliano ya kurekebisha uchumi tangu baada ya vita vya idd amini bila mafanikio.

Everything was terrible and desperate, kwa maana ya terrible and desperate.

Nawatakia Noel njema.
kweli kabisa mkuu, tunatakiwa pia kufahamu kwamba kila uongozi una zama zake.
Simaanishi kufuta kila kitu kilichofanywa na awamu zilizopita ila ninachomaanisha ni kwamba ni lazima pia tuone umuhimu wa maamuzi yaliyofanyika kipindi hicho japokuwa mengine yalikuwa mabovu
 
Kweli waliosema akili ni Mali hawakukosea,hata angekuwepo raisi anayefanana na dhahabu kwa kipindi kile angeshindwa maana katika kipindi hicho kulifanyika mabadiliko ya kiuchumi.

Nchi zilizokuwa zinafuta mlengo wa ujamaa ziliwekewa sanction na IMF&WB-iliwalazimu kuingia katika Sera za ubepari-ubinafsishaji.
hivi vipindi vya economic recovery vimepitiwa na kila nchi iliyopiga hatua. Si vizuri kubeza yaliyofanyika siku za nyuma hasa kwenye kipindi hiki maana hali ilikuwa ni ngumu sana
 
Sasa si arudishe ule mchakato wa Katiba Mpya! Hasa ile Rasimu ya Jaji Warioba ambayo kwa kiasi kikubwa ilipunguza mamlaka yake ya urais!

Angetuongoza Watanzania kwa raha mustarehe, badala ya kututawala kama ilivyo sasa.
 
Kuna ujamaa gani zaidi ya matabaka hapa. Kwa sasa watawala na watawaliwa ndio matabaka makubwa nchini. Watawala ndio wanaoejoy kila kitu., Hasa power over everybody, everything.
Mtoto wa Nyerere na wa Matonya walisoma shule moja na kutibiwa hospitali moja. Leo ikoje. NI NINI MAANA YA UJAMAA.
N vizuri kuelewa mantiki ya ujamaa kipindi kile wakati wa mwalimu kabla hujasema. Hujui kwamba tuliitana NDUGU bila kujali cheo au pesa. Ujamaa hauna matabaka ya mheshimiwa na asiyeheshimiwa.
Hakuna mtu anayejenga ujamaa bali anajaribu tu kuziweka mali mikononi mwa serikali sio umma sababu hicho kikundi cha watawala ndicho chenye maamuzi namna ya kutumia na siyo UMMA.
Wakita ndege wananunua tukitaka ajira wanasema tunajenga fly over.
Katika ujamaa umma ndio wenye nguvu. Sasa umma una nguvu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana! Watu wanashindwa kung'amua point ndogo sana: wanashindwa kuelewa katika mifumo yote miwili mwananchi hana chake. Wanapinga ubepari kwa argument kwamba wachache wanatawala uchumi (watu binafsi) lakini hawaoni kuwa kwenye ujamaa bado ni wachache (kikundi cha watawala) wanaendelea kutawala uchumi.
 
Hii ni mada ya kipuuzi.. na mleta mada ni kilaza.. anaongea asiyoyajua.. ujamaa ni falsafa ya kina Karl Max na wengineo. Ushahidi ni kuwa falsafa hii ilifeli.. haikufanikiwa kokote kule ilikotekelezwa.

Mtu kufikiria kuwa atafuata falsafa hii ili afufue uchumi wa nchi uliokufa ni rubbish.. yaani kwa ufupi hana akili.
 
RAIS JOHN MAGUFULI,MJAMAA ALIYESTAHILI KUONGOZA TANZANIA BAADA YA MWALIMU JULIUS NYERERE.

Leo 14:15pm,15/12/2019.

Natafakari tu endapo Rais John Magufuli ndiye angekuwa aliyeachiwa kijiti cha Urais wa Tanzania mwaka 1985, yale maviwanda kama Kilitex, Sunguratex, TBL,Bora yaani ile Pugu road yote vilikuwa viwanda vya Serikali, hakika naamini leo hii tatizo la ajira lisingekuwa kubwa na pia naamini umasikini wa kipato cha mtu mmoja mmoja isingekuwa ajenda kwa sasa.

Nafahamu changamoto kubwa ya kiuchumi ambayo alianza nayo Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka 1985 alipochukua kijiti cha Urais.

Awamu ya kwanza ya Rais Julius Nyerere viwanda vilijengwa na kuongozwa kwa mfumo wa kiujamaa ndio maana kulikuwa na viwanda vingi vya ushirika.

Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 Mwalimu Julius Nyerere aliongoza kwa mfumo wa kiujamaa ambao kwa mabeberu walipinga ilifikia hatua hadi kuhujumu bidhaa zitokazo ndani ya Tanzania.

Kulikuwa na jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo anguko lake ni moja ya hujuma iliyo fanywa na
wenzetu Kenya wakati wa Jomo Kenyatta na Uganda wakati wa Nduli Iddi Amini Dada.

Mifumo yao haikuwa ya kijamaa na waliuvaa ubepari kiasi kwamba ujamaa kwao ilikuwa kama kuchelewesha kuiba toka kwa Wananchi,

Ubepari wa Kenya na Uganda uliwafanya wawe watu wa kujipenda wenyewe na kuiga tabia ya wazungu ya kutawala nchi zenye tabia ya upole ,kwa maana upole ulitoka kwenye Ujamaa.

Nakumbuka ujio wa Fidel Castro nchini Tanzania na ujio wa Che Guevara ulipata kumshauri Mwalimu Nyerere juu ya Upole hasa katika Ujamaa ambao tumedhamiria kuenenda nao kama mfumo wa maisha yetu nchini Tanzania.

Hujuma nyingne ilikuwa ni anguko la azimio la Arusha,anguko la Azimio la Arusha lilisababishwa na kuinuka kwa ubepari ambao ulianza kuota mizizi miongoni mwa Wafanyabiashara.

Wafanyabiashara waliazimia kuanzisha Azimio la Zanzibar ikiwa ni ingizo la Wafanyabiashara katika nchi iliyokuwa ya Wafanyakazi na Wakulima,kuanzia hapo Wafanyabiashara walianza kushika hatamu na kuhodhi Mali ya Umma.

Naweka list ya viwanda vilivyopata kuwepo lakini vikahodhiwa na Wafanyabiashara wakubwa na kuviua, Tukumbuke ni hivyo Viwanda ndivyo ambavyo vilikuwa mkombozi wa ajira kwa Tanzania. Vingi viliajiri zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ya Umma ambayo sikuyaweka.Tunathamini juhudi kubwa ya kujenga viwanda katika awamu ya kwanza,hii ilikuwa enzi ya Mwalimu Julius Nyerere.

1. Polytex –Morogoro

2. Tanneries –Morogoro.

3. Leather industries –Morogoro.

4. Magunia –Morogoro.

5. Moro-Shoes –Morogoro.

6. Moproco –Morogoro.

7. Morogoro ceramic –Morogoro.

8. Mang’ula machine tools-Morogoro.

9. Mutex -Musoma,Mara.

10. Mwatex -Mwanza.

11. Nyanza glass –Mwanza.

12. Tanneries -Mwanza.

13. Urafiki –Dar es Salaam.

14. UFI –Dar es Salaam.

15. Sunguratexile –Dar es Salaam.

16. Mbagala glass –Dar es Salaam.

17. Tanganyika Parkers –Dar es Salaam.

18. Swala (Baiskeli) –Dar es Salaam.

19. National Panasonic –Dar es Salaam.

20. Bora –Dar es Salaam.

21. Sigara –Dar es Salaam.

22. Twiga chemical –Dar es Salaam.

23. Keko pharmacy –Dar es Salaam.

24. National Milling –Dar es Salaam.

25. Mbeya textile –Mbeya.

26. KIZAKU –Mbeya.

27. Magunia –Kilimanjaro.

28. Kilimanjaro Machine tools –Kilimanjaro.

29. Phillips –Arusha.

30. General Tyre –Arusha.

31 Scania – Kibaha Pwani.

32. Korosho- Kibaha Pwani.

33. Ginneries –Mwanza, Shinyanga, Morogoro.

34.Mbegu -Morogoro.

35.Canvas -Morogoro

36.Polyster-Morogoro.

Awamu ya tano,katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumemshuhudia Rais Mjamaa,Mzalendo John Magufuli akirudisha Viwanda vilivyoporwa na kuhujumiwa,akirejesha na kuyafufua Mashirika ya Umma yaliyokufa,akijenga viwanda vipya ili kutengeneza ajira kwa mamilioni ya watu ambao hawana ajira,

Rais John Magufuli anasimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.

Ni katika nchi hii hii tulipata kuaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo hii katika nchi hii hii ya Tanzania Mheshimiwa Rais John Magufuli amesema hela zipo hapa hapa Tanzania na nje hatoki ng'oo.

Sasa tunashuhudia tukiendelea na ujenzi wa Reli ya Umeme,Bwawa kubwa la Umeme,Ununuzi wa ndege kubwa kumi na moja,Yote ni kwa fedha zetu na hatujakwenda kukopa kwa Mabeberu,miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?

Ni dhahiri katika kipindi cha miaka hii minne ambayo Rais John Magufuli amefanya Mapinduzi makubwa hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja.Narudia kusema Wazungu wasingeweza hata kidogo,kwa lugha ya beberu niwaambie Only a genius can do this.

-Rais John Magufuli abadili Upepo na kuleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi.

Kufaidika kiuchumi katika dunia hii ya leo kunahitaji kujitoa sadaka mbele ya uso wa Mabeberu,kuna changamoto nyingi lakini angalau awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli imefanikiwa kuifahamu vyema sana dunia na mahitaji yake.

Kero ni ule ukweli kwamba katika awamu karibu zote tatu kabla ya hii ya sasa kundi la wenye kutakiwa kuwa wazalendo ndio lilikuwa limejaa madalali wa kuiumiza na kuiuza nchi yao Tanzania nchi yao waliyozaliwa.

Vita ya kiuchumi sio vita ndogo, ukikaa pamoja na watu Wazalendo katika Awamu hii ya tano watakwambia ni kwa namna gani wanapambana na hao waliozoea kuiumiza nchi ambayo Baba na Mama zao wamezaliwa!.

Hizi pesa zinazoitwa gawio la kwenda hazina katika awamu zilizopita ndizo zilizokuwa zinaishia juu kwa juu zikistawisha maslahi ya wenye vyeo na marafiki zao na familia zao,ndio hao leo hii wanaongoza kwa kupiga kelele hela haipo.

Kila mwenye kujiona mzalendo na awe wa kwanza kuumizwa kila anapoona watu wanataka kutajirika kirahisi tu kwa kuiba Mali ya Umma huku Wananchi walio wengi wenye haki na nchi yao ya Tanzania wakibakia malofa.Tuunge mkono juhudi za Awamu ya tano,chini ya Rais John Magufuli.

-Rais John Magufuli ni Mwanafunzi mzuri wa Julius Nyerere na Niccolo Machiavelli.

Niccolo Machiavelli ambaye aliandika vitabu maarufu vya masuala ya Maslahi ya Taifa kama "The Prince" cha mwaka 1513 ambacho kilikuja kutafsiriwa kwa kiingereza mwaka 1532 na "The Discourses" cha mwaka 1517 ambacho kilikuja kutafsiriwa mwaka 1531 kama "The Discourses on livy".

Niccolo Machiavelli ni miongoni mwa waandishi waliokuwa wakihusudiwa sana na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kudhihirisha hilo,katika moja ya mahojiano yake Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisikika akisema;"You want me to tell you what's a book Iam reading now?....I'm reading Machiavelli ".

-Kwa nini nasema Rais John Magufuli ndiye aliyestahili kuchukua kijiti cha Rais Julius Nyerere.

•Kuweka mbele maslahi ya Taifa.

Niccolo Machiavelli (1513) alitumia neno "Raison d'etat" kwa kiingereza "Reason of the State" kuelezea kwa kina namna Rais wa Nchi anavyoweza kufanya lolote liwezekanalo ili kupigania na kulinda maslahi ya Taifa kwa kuwa rasilimali za Taifa ndiyo sababu ya uhai wa dola.

-Kulipa Kodi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi alisema akiwanukuu Waisrael na Wamarekani kuwa wao (Marekani na Israel) wanaamini katika mambo mawili;

1- Kuzifia Nchi zao.

2-Kulipa Kodi.

Tukumbuke pia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza Uzalendo na aliwahi kusema "Taifa lisilolipa kodi ni Taifa mfu".

-Rais John Magufuli ni Strategic Negotiator.

Kwa kuzingatia Maslahi ya Taifa Rais John Magufuli alituthibitishia kuwa yeye ni Strategic Negotiator kwa kutazama jinsi Serikali yake ilivyoingia kwenye majadiliano ya Madini ambayo tulikuwa tunaibiwa kila uchwao lakini hivi sasa tunagawana faida nusu kwa nusu.

Tuliona jinsi Serikali yake ilivyokataa mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo,mkataba wa kimangungo wa ujenzi wa Reli ya SGR uliokuwa ujengwe na Wachina kwa gharama mara mbili ya Ujenzi wa sasa,na namna alivyoshawishi bomba la Mafuta liweze kujengwa kutoka Hoima,Uganda mpaka Chongoleani,Tanga.

Nimalizie kwa kusema,Rais John Magufuli ndiye mbarikiwa mwenye kibali cha kuiongoza Tanzania machoni pa Mungu,Tuunge mkono juhudi zake kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania,Tanzania isonge mbele ya kutopiga hatua kwa muda mrefu.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kumbariki Rais John Magufuli,Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools kitafufuliwa hivi karibuni maana hata wale wafanykazi wake bado wako hai. Ni kama itakavyokuwa Kiwanda cha Nyumbu pale Kibaha ambacho ni mali ya JWTZ lakini kilitelekezwa kwa kukosa mtaji japo wale wataalamu wapo. Wafanyabiashara kuinggiakatika siasa ndiyo kulipoteza mwelekeo wa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Wakati wa Nyerere watu walielezwa idaha uwe katika siasa au mfanyakazi lakini si vyoye kw wakati mmoja maana utatokea ubinafsi na wizi
 
Ujamaa ni sifa au umasikini?
 
Unaweza kuwa bepari na bado ukawa mjamaa mzuri. Ni namna unavyotumia hiyo mali kwa manufaa ya wengi
 
Naona unatafuta kiki.

Nyerere hakushirikiana na makaburu na wabaguzi wanaokalia nchi za watu kimabavu

Alivunja na kuzuia mahusiano ya aina yyt na wao. Huo ndio UJAMAA na UAFRIKA WA KWELI.

Leo kwa mara ya kwanza Tanzania imefungua ubalozi na taifa la Kizayuni la Israeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa mapambo mnoo, ila sina hakika kama huyo unayempamba Hata huo ujamaa wenyewe anaujua!

Usichoelewa kuna watu ambao hawasomagi Hata magazeti sembuse Vitabu na journeys! They are just like that!
 
Nyerere aliishi zama zake ambazo kwa zama hizi hazina tija maana kila zama na kitabu chake na mwandishi wake.
 
Umeandika kwa mapambo mnoo, ila sina hakika kama huyo unayempamba Hata huo ujamaa wenyewe anaujua!

Usichoelewa kuna watu ambao hawasomagi Hata magazeti sembuse Vitabu na journeys! They are just like that!
Hata kama aujui lkn ana upractise kivitendo,
 
Sasa kama ana practice kitu chake utasemaje ni mjamaa? Haujui ujamaa na huenda hajui anachokifanya na madhara yake is just a trial and error!

Ninachojilaumu ni kipindi cha nyuma nilikuwa nashangilia jamaa kutaja kilometres, nikaanza kushtuka baada ya kuanzia kutaja idadi ya samaki baharini! Naona wewe mwenzangu bado hujashtuka tuu!
 
RAIS JOHN MAGUFULI,MJAMAA ALIYESTAHILI KUONGOZA TANZANIA BAADA YA MWALIMU JULIUS NYERERE.

Leo 14:15pm,15/12/2019.

Natafakari tu endapo Rais John Magufuli ndiye angekuwa aliyeachiwa kijiti cha Urais wa Tanzania mwaka 1985, yale maviwanda kama Kilitex, Sunguratex, TBL,Bora yaani ile Pugu road yote vilikuwa viwanda vya Serikali, hakika naamini leo hii tatizo la ajira lisingekuwa kubwa na pia naamini umasikini wa kipato cha mtu mmoja mmoja isingekuwa ajenda kwa sasa.

Nafahamu changamoto kubwa ya kiuchumi ambayo alianza nayo Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka 1985 alipochukua kijiti cha Urais.

Awamu ya kwanza ya Rais Julius Nyerere viwanda vilijengwa na kuongozwa kwa mfumo wa kiujamaa ndio maana kulikuwa na viwanda vingi vya ushirika.

Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 Mwalimu Julius Nyerere aliongoza kwa mfumo wa kiujamaa ambao kwa mabeberu walipinga ilifikia hatua hadi kuhujumu bidhaa zitokazo ndani ya Tanzania.

Kulikuwa na jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo anguko lake ni moja ya hujuma iliyo fanywa na
wenzetu Kenya wakati wa Jomo Kenyatta na Uganda wakati wa Nduli Iddi Amini Dada.

Mifumo yao haikuwa ya kijamaa na waliuvaa ubepari kiasi kwamba ujamaa kwao ilikuwa kama kuchelewesha kuiba toka kwa Wananchi,

Ubepari wa Kenya na Uganda uliwafanya wawe watu wa kujipenda wenyewe na kuiga tabia ya wazungu ya kutawala nchi zenye tabia ya upole ,kwa maana upole ulitoka kwenye Ujamaa.

Nakumbuka ujio wa Fidel Castro nchini Tanzania na ujio wa Che Guevara ulipata kumshauri Mwalimu Nyerere juu ya Upole hasa katika Ujamaa ambao tumedhamiria kuenenda nao kama mfumo wa maisha yetu nchini Tanzania.

Hujuma nyingne ilikuwa ni anguko la azimio la Arusha,anguko la Azimio la Arusha lilisababishwa na kuinuka kwa ubepari ambao ulianza kuota mizizi miongoni mwa Wafanyabiashara.

Wafanyabiashara waliazimia kuanzisha Azimio la Zanzibar ikiwa ni ingizo la Wafanyabiashara katika nchi iliyokuwa ya Wafanyakazi na Wakulima,kuanzia hapo Wafanyabiashara walianza kushika hatamu na kuhodhi Mali ya Umma.

Naweka list ya viwanda vilivyopata kuwepo lakini vikahodhiwa na Wafanyabiashara wakubwa na kuviua, Tukumbuke ni hivyo Viwanda ndivyo ambavyo vilikuwa mkombozi wa ajira kwa Tanzania. Vingi viliajiri zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ya Umma ambayo sikuyaweka.Tunathamini juhudi kubwa ya kujenga viwanda katika awamu ya kwanza,hii ilikuwa enzi ya Mwalimu Julius Nyerere.

1. Polytex –Morogoro

2. Tanneries –Morogoro.

3. Leather industries –Morogoro.

4. Magunia –Morogoro.

5. Moro-Shoes –Morogoro.

6. Moproco –Morogoro.

7. Morogoro ceramic –Morogoro.

8. Mang’ula machine tools-Morogoro.

9. Mutex -Musoma,Mara.

10. Mwatex -Mwanza.

11. Nyanza glass –Mwanza.

12. Tanneries -Mwanza.

13. Urafiki –Dar es Salaam.

14. UFI –Dar es Salaam.

15. Sunguratexile –Dar es Salaam.

16. Mbagala glass –Dar es Salaam.

17. Tanganyika Parkers –Dar es Salaam.

18. Swala (Baiskeli) –Dar es Salaam.

19. National Panasonic –Dar es Salaam.

20. Bora –Dar es Salaam.

21. Sigara –Dar es Salaam.

22. Twiga chemical –Dar es Salaam.

23. Keko pharmacy –Dar es Salaam.

24. National Milling –Dar es Salaam.

25. Mbeya textile –Mbeya.

26. KIZAKU –Mbeya.

27. Magunia –Kilimanjaro.

28. Kilimanjaro Machine tools –Kilimanjaro.

29. Phillips –Arusha.

30. General Tyre –Arusha.

31 Scania – Kibaha Pwani.

32. Korosho- Kibaha Pwani.

33. Ginneries –Mwanza, Shinyanga, Morogoro.

34.Mbegu -Morogoro.

35.Canvas -Morogoro

36.Polyster-Morogoro.

Awamu ya tano,katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumemshuhudia Rais Mjamaa,Mzalendo John Magufuli akirudisha Viwanda vilivyoporwa na kuhujumiwa,akirejesha na kuyafufua Mashirika ya Umma yaliyokufa,akijenga viwanda vipya ili kutengeneza ajira kwa mamilioni ya watu ambao hawana ajira,

Rais John Magufuli anasimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.

Ni katika nchi hii hii tulipata kuaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo hii katika nchi hii hii ya Tanzania Mheshimiwa Rais John Magufuli amesema hela zipo hapa hapa Tanzania na nje hatoki ng'oo.

Sasa tunashuhudia tukiendelea na ujenzi wa Reli ya Umeme,Bwawa kubwa la Umeme,Ununuzi wa ndege kubwa kumi na moja,Yote ni kwa fedha zetu na hatujakwenda kukopa kwa Mabeberu,miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?

Ni dhahiri katika kipindi cha miaka hii minne ambayo Rais John Magufuli amefanya Mapinduzi makubwa hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja.Narudia kusema Wazungu wasingeweza hata kidogo,kwa lugha ya beberu niwaambie Only a genius can do this.

-Rais John Magufuli abadili Upepo na kuleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi.

Kufaidika kiuchumi katika dunia hii ya leo kunahitaji kujitoa sadaka mbele ya uso wa Mabeberu,kuna changamoto nyingi lakini angalau awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli imefanikiwa kuifahamu vyema sana dunia na mahitaji yake.

Kero ni ule ukweli kwamba katika awamu karibu zote tatu kabla ya hii ya sasa kundi la wenye kutakiwa kuwa wazalendo ndio lilikuwa limejaa madalali wa kuiumiza na kuiuza nchi yao Tanzania nchi yao waliyozaliwa.

Vita ya kiuchumi sio vita ndogo, ukikaa pamoja na watu Wazalendo katika Awamu hii ya tano watakwambia ni kwa namna gani wanapambana na hao waliozoea kuiumiza nchi ambayo Baba na Mama zao wamezaliwa!.

Hizi pesa zinazoitwa gawio la kwenda hazina katika awamu zilizopita ndizo zilizokuwa zinaishia juu kwa juu zikistawisha maslahi ya wenye vyeo na marafiki zao na familia zao,ndio hao leo hii wanaongoza kwa kupiga kelele hela haipo.

Kila mwenye kujiona mzalendo na awe wa kwanza kuumizwa kila anapoona watu wanataka kutajirika kirahisi tu kwa kuiba Mali ya Umma huku Wananchi walio wengi wenye haki na nchi yao ya Tanzania wakibakia malofa.Tuunge mkono juhudi za Awamu ya tano,chini ya Rais John Magufuli.

-Rais John Magufuli ni Mwanafunzi mzuri wa Julius Nyerere na Niccolo Machiavelli.

Niccolo Machiavelli ambaye aliandika vitabu maarufu vya masuala ya Maslahi ya Taifa kama "The Prince" cha mwaka 1513 ambacho kilikuja kutafsiriwa kwa kiingereza mwaka 1532 na "The Discourses" cha mwaka 1517 ambacho kilikuja kutafsiriwa mwaka 1531 kama "The Discourses on livy".

Niccolo Machiavelli ni miongoni mwa waandishi waliokuwa wakihusudiwa sana na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kudhihirisha hilo,katika moja ya mahojiano yake Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisikika akisema;"You want me to tell you what's a book Iam reading now?....I'm reading Machiavelli ".

-Kwa nini nasema Rais John Magufuli ndiye aliyestahili kuchukua kijiti cha Rais Julius Nyerere.

•Kuweka mbele maslahi ya Taifa.

Niccolo Machiavelli (1513) alitumia neno "Raison d'etat" kwa kiingereza "Reason of the State" kuelezea kwa kina namna Rais wa Nchi anavyoweza kufanya lolote liwezekanalo ili kupigania na kulinda maslahi ya Taifa kwa kuwa rasilimali za Taifa ndiyo sababu ya uhai wa dola.

-Kulipa Kodi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi alisema akiwanukuu Waisrael na Wamarekani kuwa wao (Marekani na Israel) wanaamini katika mambo mawili;

1- Kuzifia Nchi zao.

2-Kulipa Kodi.

Tukumbuke pia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza Uzalendo na aliwahi kusema "Taifa lisilolipa kodi ni Taifa mfu".

-Rais John Magufuli ni Strategic Negotiator.

Kwa kuzingatia Maslahi ya Taifa Rais John Magufuli alituthibitishia kuwa yeye ni Strategic Negotiator kwa kutazama jinsi Serikali yake ilivyoingia kwenye majadiliano ya Madini ambayo tulikuwa tunaibiwa kila uchwao lakini hivi sasa tunagawana faida nusu kwa nusu.

Tuliona jinsi Serikali yake ilivyokataa mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo,mkataba wa kimangungo wa ujenzi wa Reli ya SGR uliokuwa ujengwe na Wachina kwa gharama mara mbili ya Ujenzi wa sasa,na namna alivyoshawishi bomba la Mafuta liweze kujengwa kutoka Hoima,Uganda mpaka Chongoleani,Tanga.

Nimalizie kwa kusema,Rais John Magufuli ndiye mbarikiwa mwenye kibali cha kuiongoza Tanzania machoni pa Mungu,Tuunge mkono juhudi zake kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania,Tanzania isonge mbele ya kutopiga hatua kwa muda mrefu.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kumbariki Rais John Magufuli,Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Kwamba bandiko lako linahitaji kusifiwa, ujumbe ulio katika aya ifuatayo Vita ya kiuchumi sio vita ndogo, ukikaa pamoja na watu Wazalendo katika Awamu hii ya tano watakwambia ni kwa namna gani wanapambana na hao waliozoea kuiumiza nchi ambayo Baba na Mama zao wamezaliwa! ina ujumbe mzito sana kama simulizi iliyomo kwenye tamthilia ya FILINTA (itizame Netflix).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom