pesa ishaliwa ya kutosha halafu mnapongeza c bora izo pesa angepewa mwakyembe toka mwez wa 6 aongeze vichwa vya tren pia amgawie na magufuli aendeleze barabara. Bila ukawa 2lishapgwa changa hapo.
Wote ni wa kupewa pongezi na ametimiza azma yake alitamka Serikali tatu tusubiri yeye atoke.Kweli yametimia.Hongera JK.Hongera Ukawa.Hongera baraza la wakristu.
Huwezi kumpongeza shetani kwa kazi yoyote atakayofanya!!
1.JK ndiye aliyeteua Tume ya Warioba na akashangilia matokeo ya Tume hiyo Kwa Mbwembe
2.Jk ndiye aliyekwenda kimyakimya Bungeni na kumpinga tume ya Wariabo
3.Jk ndiye aliyeteua wajumbe wa Tume ya Warioba ambao wote ni maadui(Sitta na Lowassa)
4.Jk ndiye aliyemtuma Sitta Kuchukua form ya Uwaziri Mkuu huku akimhimiza Lowassa kufanya hivyo mwaka 2005
5.Jk huyo huyo anajifanya kusitisha Bunge hewa la katiba akiwa na UKAWA
MWISHO WA MTU MNAFIKI NA MFITINI NI MBAYA SANA NA TUTASHUDIA KWA MACHO YETU maana maelekezo yalisema mgogoro utaanzia kwenye Bunge la Katiba na kilele ni uchaguzi 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.