Rais Jakaya Kikwete atembelea mashamba ya mananasi Ghana

10 years in power nadhani katutafutia fursa tatizo anaoenda nao sio wahusika
hata soko la majani yetu ya chai, asali,matunda kwenda nje sijaona
kenya wanatuzidi kula kitu.
tujitume sasa wenyewe kuchakarika masoko ya ulaya yanahitaji sana asali,
majani ya chai packed kama haya ya chai bora nk. unga wa ulezi kama ule wa arusha watu mchangamke sasa
 

Mkuu kapotolo likes zingekuwa na grade ningekupa yenye A+. Jinsi huyu kiongozi anavyo udhi wakati mwingine inabidi mtu unyamaze tu maana ukisema sana mwishowe utaharibu.
 
JK anadhani hatakufa na hata akifa RIZ1 ataendelea kuongoza na kuwa tajiri, ndio maana hajui shida na hana hata sababu ya kuzitatua wala hajui watu wa nje wanamuona ni mtu wa aina gani. Kama raisi anatakiwa atoe tu mwongozo aende pale chalinze aanzishe kiwanda atafuta maafisa ugani wawasaidie maskini wakwao kulima nanasi na korosho na kodi atapata atapunguza uzururaji kwenye nyumba za watu. Ni aibu kwa baba kuomba kibaba cha unga kwa jirani na mama kuoma kitunguu kwa jirani huku wana mashamba ya kutossha lakini wavivu kulima. JK tafadhali badilika wewe ni kiongozi umepewa watu mil 43 wakutumikie waambie wafanye kazi pigana ufe kwa ajili ya nchi yako, kwa sasa nadhani ikitoke tifu kwa jinsi utakuwa wa kwanza kula kona.SORRY.
 
Hapa nadhani kunaprotocol au itifaki imekiukwa msiba na mananasi wapi na wapi.Mh.JK nafikiri angelieleweka kama baada ya msiba angelitembelea na kuweka mashada kwenye makaburi ya mashujaa wa ukombozi wa Ghana au viongozi mbalimbali waliotangulia katika haki ambao wametoa mchango katika nchi hiyo.Hilo na mananasi angelifanya katika ziara nyingine.Tusipoangalia kunasiku ataenda disco au kutizama mpira baada ya msiba.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 

Mwivi haji... ila kuchinja na kuharibu!!!... Inasikitisha sana.... Yaani sioni hata kundi la kumuweka huyu mtu!!!..
 
Rais jakaya kikwete, AMEIJUA TANZANIA VIZURI KWENYE UCHAGUZI WA 2010 BAADA YA KUTIWA ADABU NA RAIS WA 2015... baada ya hapo ana muda tena na watanzania, muacheni amalize muda wake tuuuuuu yani inakela sana.
 
Hata hapo geita mananasi ni ya kumwaga sijaona kipya hapo kwenye picha ambacho hakiwezekani hapa bongo,sema jk anapenda tu kutalii
 
Hivi kwenda kwenye hayo mashamba ni wenyeji wamemchagulia? Au wale viongozi kumi na sita walohudhuria bado wapo Ghana? Wageni kama hawa wanaudhi sana, badala ya kurudi wanazunguka tu ndani. Ilibidi wampeleke kwenye banda la kuku akazoe kinye.si ya kuku.
 
Ukiona rais wa nchi anatembelea mashamba ya nyanya mara mananasi basi ujui priority kwake ni kula kula tu..
 
mimi nadhani ni bora angetembelea viwanda vya matunda badala ya mashamba kwani tanzania mashamba ya matunda ni mengi na matunda ni mengi lakini tatizo viwanda hakuna!
 
Ghana wana-export mananasi Ulaya. Na Kikwete ni mkulima wa mananasi, ni wazi ameenda kujifunza mbinu za kuinua kilimo chake. Wasiwasi wangu ni 'timing'. Sasa hivi Ghana wako kwenye msiba hivyo upo uwezekano wa watu kukwazika na ziara ya mananasi wakati wa msiba! Sikumbuki wakati wa msiba wa Mwl Nyerere viongozi wengine walifanya nini mbali na kuhudhuria maziko?
 
Msibani kkwenyewe kaenda yeye pamoja na membe, mi najiuliza kwani asingeweza kwenda mmojawapo na mwingine akabaki anfanya majukumu mengine ya ndani, mbona Obama alibaki anapiga kazi huku Clintony akiwa msibani?

Mkuu wamefanya hivi kwasababu tz ni nchi yenye uchumi mdogo na maskini kabisa duniani hivyo hata majukumu ya viongozi yana kuwa si mengi kama hoa wakubwa. wala usije shangaa kupewa sababu zinazo fanana na hii.
 
Mwacheni akatembelee mashamba ya mananasi pengine ana hamu ya kula nanasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…