Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

Jf mteule
huyu faiza ni gamba nini kwani naona siku zooooote yupo kwa utetezi wa magamba tu.....yeye haoni kama ana haki ya kujua hili? Au anaona siasa zaidi ? Haya ni maisha ya kila mtanzania lazima tuyaongee
 
Ukisikia watu wanafiki ndio hawa, wanaficha kila kitu na kuwapa kazi washikaji wake wakati serikali ingetakiwa ijengwe na wananchi toka vyama vyote inchini, kwanini serikalini upati kazi mpaka uwe mwanachama wa ccm? Why do we think kikwete and ccm prefer secretes and vya uvunguni tricks? Hawataki wananchi wajue jinsi Ndulu, Mkullo na kikwete mwenyewe ndio uchumi wenyewe. They cook books, steal and kuwapa wananchi stories za uongo kupitia tbs na itv. Kwani tunafikiri kikwete analipwa posho ndogo basi, angalia trips zake na mkewe nje utajua how much the guy is spending oversea 'thats called responsibility'

Umaskini wa Afrika haujaanza kwa uzembe wa wananchi ni watu kama kikwete na wahuni wenzio. Tutapiana nao mpaka waondoke serikalini, wanaitwa viongozi kwa sababu zipi? Kama unaona mtanzania anaweka bajeti yake kwa kuficha na hataki wananchi wajue amepanga kiasi gani cha matumizi 'huyo ni Mtanzania kweli?'

Chadema waumbueni hao na tunaomba Mbowe endelezeni mapambano na wananchi tunataka tuone bajeti ya kikwete ikulu ni kiasi gani, hakuna kuficha 'kwani yeye ni malkia?' Hata Uk wananchi wanajue wealth ya queen Elizabeth....
 
Heshima kwenu wakuu, gazeti la mwanahalisi la leo tarehe 17 ukurasa wa 19 lina makala isemayo "Raila Odinga amzidi David Cameron kwa mshahara.
Ukisoma hiyo makala utaweza ona jinsi Nchi nyingine zinavyokuwj wazi hasa mapato ya viongozi wao kulinganisha na hapa kwetu ambapo mshahara na vyanzo vya mapato vya viongozi wetu vimekuwa ni siri.

Swali: Kenya wameweza kuweka wazi mishahara ya viongozi wao, sisi nini kinatushinda?

Naomba Chadema kama watachukua Nchi mwaka 2015 waweke wazi mishahara ya mawaziri,wabunge na wa raisi pamoja na vyanzo vingine vya mapato vya raisi.

Hii hapa ni orodha ya viongozi wanaolipwa mishahara mikubwa hapa duniani:

1. Lee Hsien Loong, waziri mkuu wa singapore dola 2,856,930 kwa mwaka.
2. Donald Tsang dola 513,245 kwa mwaka,mtawala mkuu wa Hong Kong.
3. Raila Oding dola 427,886. Kwa mwaka
4. Barack Obama dola 400,000 kwa mwaka.
5. Nicolas Sarkozy dola 345,423.

Mshahara wa Jk ukiwekwa hapo si ajabu atashika nafasi ya pili au tatu na kwa katiba yetu kuwa raisi ndo mwajiri mkuu sitoshangaa hata kama akishika nafasi ya kwanza.
 
Gbollin, acha wafanye siri hivyo hivyo siku watakayoamua kutuwekea wazi kwa sie wenye mioyo mepesi tunaweza ku-collapse. Kwa hali ngumu ya maisha tunayopambana nayo watanzania na dhiki kibao then unakuja kusikia eti JK anapokea mshahara wa milioni 120 kwa mwezi. Wallahi mtatuzika wengi humu.
 
mnavuka mipaka sasa,hao waliotaja mishahara yao una hakika nayo?wote wazushi hata kikwete hakitaja wake hauna kwa kuhakikisha kama yasemwayo ni kweli..
 
mnavuka mipaka sasa,hao waliotaja mishahara yao una hakika nayo?wote wazushi hata kikwete hakitaja wake hauna kwa kuhakikisha kama yasemwayo ni kweli..
Sasa tatizo liko wapi!? hata hou wa uzushi autaje tuuu!
 
mnavuka mipaka sasa,hao waliotaja mishahara yao una hakika nayo?wote wazushi hata kikwete hakitaja wake hauna kwa kuhakikisha kama yasemwayo ni kweli..
<br />
<br />

Mkuu sio kila kitu ni cha kutetea,tunapojua mshahara wa raisi wetu tunawezj mpima alipoingia alikuwaje na anaondokaje,hii itatusaidia kujua uovu unaotendeka ndani ya utawala wake na pia tunaweza kumuuliza kama ana mali nyingi basi amezipata vipi. Hiyo ndio demokrasia tunayoitaka. Lazima viongozi wawe wawazi.
 
3.jpg

4.jpg
 
Sasa unataka ili nini wewe mshahara wako mbona mkeo haujui hebu tokeni hapa ....................badala ya kuzungumzia jinsi gani utajiendeleza uinue kipato unataka uujue ili ? hivi CDM kwanini katibu mkuu mwingine hata pewa mshahara na marupurupu mengine kama slaaaaaa?????
 
Sasa unataka ili nini wewe mshahara wako mbona mkeo haujui hebu tokeni hapa ....................badala ya kuzungumzia jinsi gani utajiendeleza uinue kipato unataka uujue ili ? hivi CDM kwanini katibu mkuu mwingine hata pewa mshahara na marupurupu mengine kama slaaaaaa?????
<br />
<br />




Magambaz @ work,tafuta thread inazungumzia jinsi ya kuongeza thinking skills manake uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Unawaza kwa kutumia masaburi yako.
 
teeeh tanzania eeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhh,tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, naku......................................aaaaaaaaaaaaa
 
Mshahara wa rais ni TSh 4,326,589.36 kwa mwezi Zidisha kwa mwaka utapata jibu so bado analipwa mshahara mdogo sana
 
Angalau wangekuwa wanataja tu Maximum na minimum salary kwenye utumishi wa umma. Lakini sasa tunatajiwa tu kuwa minimum imeongezwa na kuwa 180,000/= lakini ile ya juu hawasemi. Wenye mioyo midogo wanaogopa kujua maximum anazokula bosi lakini ni vizuri kujua maana tumemwajili sisi wapiga kura.
 
Majarani wetu wamekuwa wazi kwa mambo mengi tu. Mfano mzuri citizen tv weekend edition maakala who owns Kenya inayoendeshwa na mtangazaji J. Gichuru . Vyanzo vya mapato vya vigogo (viongozi na wafanyabiashara wakubwa) vinawekwa hadharani bila woga au upendeleo.
 
Back
Top Bottom