Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Jun 13, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF,

  Ni jambo la kawaida kwa wananchi kujua mapato ya Viongozi wa nchi hususani the highest office in the land, Viongozi wengi ambao hawana nia ovu huweka hadharani mapato yao na kodi walizolipa na wananchi wao kujua na tena kuonyesha mfano wa kuigwa kwamba hata raisi wa nchi analipa kodi na hatumii nafasi yake ya uraisi kwa manufaa yake na familia yake, kujilimbikizia mali na kutolipa kodi kwa kipato anachopata.

  Hapa chini ni mfano wa Raisi wa Marekani Barack Obama ambae alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mapato yake kwa mwaka na kodi anayolipa bila kujali nafasi aliyonayo. mapato na kodi ya raisi obama na mkewe kwa mwaka ni:

  Obama Taxes & Income: President & First Lady Paid $453,770 In Taxes On $1.7 Million Income
  soma zaidi kwa kufuata link hii http://www.huffingtonpost.com/2011/04/18/obama-taxes-income_n_850649.html
  Je ni kwa nini viongozi wa kiafrika wanakuwa na usiri sana kuhusu mapato yao na kodi wanazolipa, kwa nini viongozi wetu wasiwe wanatoa taarifa za mapato na malipo ya kodi kwa vyombo vya habari ili kuonyesha mfano? Na wananchi kujua vyanzo vya mapato ya raisi.

  Je ni watanzania wangapi wanaojua mshahara wa raisi Jakaya Kikwete na marupurupu yote na posho ni kiasi gani? Je raisi JK na familiya yake wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?

  Lazima tujenge uwazi na kujua mambo muhimu kama mshahara wa raisi na kama raisi wetu analipa kodi au la! Ningependa kuwakilisha hoja yangu ili tuweze kudadisi na kujua mapato na malipo ya kodi kwa raisi wetu.

  Natoa shukrani kwa Zitto Kabwe kwa kutufahamisha mapato ya wabunge na posho zote but tunataka kujua wabunge wetu pia wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  JK akitaja nahamia CCM leo hii.
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Analipwa mpaka Posho ya kuwahudumia Waganga wake wa Kienyeji Wanne aliotafutiwa na Makamba Sr.
   
 4. delabuta

  delabuta Senior Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipeindapa hoja but umewagusa magamba wote kimya
   
 5. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wananchi tuna haki ya kujua mshahara na mapato ya raisi wetu, na Je analipa kodi kiasi gani? Obama anaweka mambo yote hadharani je sisi tunaficha nini? kwa nini mshahara wa raisi uwe siri wakati ni raisi wetu na tumempa ikulu yetu sasa kwa nini tusijue mshahara wake?
   
 6. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawezi kusema nami naunga mkono Jk akitaja nami nitahamia CCM leo hii.
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nasikia kuanzia enzi za Mkapa mshahara na marupurupu ya rais vimefanywa kuwa siri ya serikali. Sina hakika lakini nimelisikia hilo, kwa sababu kwa serikali yeyote ya kidemocrasia mshahara wa rais si siri. Wakenya wanajua Mwai Kibaki analipwa kiasi gani.
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  na ujue pia kuwa ameajiriwa na wananchi, sasa kwanini amfiche Bosi wake ambae ndio mwananchi au anafanya ufisadi ndio maana hataki kumwambia bosi wake?
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Mbona wote tunalalamika tuuuuu..........ina maana hakuna mtz anayejua mshahara wa kikwete?.....mbona nchi zote zinazotupa misaada viongozi wao mishahara yao inajulikana ?.....hakuna hata viongozi wa serikalini walio na uwezo wa kuasi na kuitwa wahaini kwa kutaja mshahara wa rais wao....................
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nakuunga mkono akitaja naendakulipia kadi yanu ya ccm haraka iwezekanavyo!
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huu ni wakati wa vikao vya bunge, kwa nni asitokee mbunge yeyote apenyeze swali hili?
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Waulize TRA
   
 13. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Raisi anatakiwa kuwa muwazi na kuonyesha mfano kama Obama, TRA ndo wanamlipa raisi mshahara?
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  mnalo weye huandika udaku kwa wenzio leo imebomoa kwako,imeze japo chungu ili upone mawazo mfu.From JK ukitaka kula lazima uliwe kidogo wataka kula bila kuliwa hiyo haiwezekan,cha mlev huliwa na mgema
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mafisadi yapo mengi
   
 16. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  analipwa laki tatu mshahara sawa na tichaaaa.
   
 17. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio wanaokusanya kodi. Mwenye kuleta mada kaandika kodi anokatwa Obama kutokana na mapato yake.

  Ukenda TRA yote utayakuta hayo kama Inland Rvenue Office ya USA.
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  Haaa babu yatakushinda, ulifikiri Rais anajipangia yeye Mshahara? hebu tuoneshe huo udaku tuliouandika. Kwanza ukiwa pale mshahara wa nini? unanchekesha!

  Sie twaijua posho ya Slaa tu na kodi hailipiwi.
   
 19. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Dhubutu ataje ajipendi .Watanzania tutaandamana kupinga mshahara wake .Marais wa Africa wajilipa mishahara mikubwa tena sana
   
 20. O

  Omr JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamarekani wote wanajua ni wajibu wao kulipa kodi, je wabongo wangapi wanalipa kodi. Jifananishe na Kenya wewe sio kurukia America.
   
Loading...