Rais huwa hatangazi Utalii

Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?

Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Kuna ushamba uliozidi kuwa na vivutio lukuki vya utalii kuanzia mbuga, fukwe, milima, maziwa & bahari, historical sites lakini miaka 60 baada ya kujitawala hujui namna ya kuwafanya watalii waje? Imagine mwaka mzima unashindwa kuleta watalii walau milioni mbili au tatu?? Really?? Kuna Wizara nzima ya utalii, kuna body ya utalii, tuna mabalozi kibao huko duniani but all in vain!! What's wrong with this country?? What are really our three or five priorities???
 
Hapo ndipo utajua kuwa demokrasia yetu imepokwa. Kuna watu maarufu kwa mengi tu hata kwa weledi wa lugha za kimataifa tulitegemea hawa wazunguke nchi nzima kwa gharama nafuu kabisa kuliko hii misafara mufilisi na ving’ora tunavyoona sasa kisa kumrekodi bibi kizee kwenye filamu eti za kutangaza vivutio vyetu!

Kwanini msitumie jeshi la polisi kushurutisha watalii kuja nchini? Na hao watalii wakija basi muwawekee tozo za nywele zao.
Daaah hiyo paragraph ya mwisho mkuu
 
Acheni utumwa wa fikra, nasi tumepewa vichwa vya kutafakari na kufanya maamuzi sio kila kitu kuiga

Inawezekana hiyo approach ikaleta manufaa na wengine wakaiga
Tupe mrejesho wa ile strategy ya Kigwangala na akina Steve Nyerere, JB na wenzake kwanza...
 
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.

Na Kwanza hata kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii. Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.

Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa, watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.

Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.

Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanzania nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?

Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji? Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.

Rais ataenda Location zote na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.

Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Kuna hoja kwenye vijiwe mtaani zinaibuka na kuzua utata kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa grand corruption nchini.

Baadhi ya hoja zenyewe ni hizi hapa chini:

1) Kutokana na taarifa ya CAG, ATCL ni shirika ambalo linapata hasara kila uchwao lakini cha ajabu serekali imeagiza ndege ningine 5 kwa gharama za matrilioni. Advance ishalipwa. Kuna logic gani ku invest tax payers' money kwenye biashara ambayo inalitia taifa hasara? Kuna vested interests zozote? Sheria ya manunuzi imezingatiwa? Si mimi, ni watu huku mtaani ndiyo wanauliza!

2) Huyu jamaa producer wa hii "Royal Tour" aitwaye Greenberg - nasikia yupo kibiashara zaidi. Amepatikanaje? Sheria ya manunuzi imezingatiwa? Again, si miye niulizaye bali wananchi huku mtaani.
 
Piramidi za Misri ni maarufu kuliko kivutio kingine chochote barani Africa na sio kwa sababu Misri inajitangaza sana.

Watalii hawaji kwa sababu una vivitio vingi tu, wanakuja kwa sababu ya historia ya vivutio ulivyo navyo, siasa na muingiliano wa nchi yako na mataifa mengine

Siasa za misri za dictator Al-sisi?
 
Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii. Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza ni Taifa mfu, ni Taifa lililokufa, ni taifa jipya kabisa chini ya jua na halina raslimali zozote na wala kitu chochote, sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.

Na Kwanza hata kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii. Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.

Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa, watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.

Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.

Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanzania nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?

Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji? Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.

Rais ataenda Location zote na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.

Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Hili taifa la kipuuzi sana, na Samia seems to be clueless.
Yaani unamteka kiongozi mkuu wa upinzani kwa tuhuma za kutunga za ugaidi, halafu wakati huo huo unatangaza watalii waje. Mtalii gani atakuja kwenye taifa lenye magaidi. Yaani upumbavu mtupu.
 
tusiwe watu wa kucopy na paste kwa kila kitu ,wakati mwingine lazima mbinu nyingine mpya bunifu zitumike .tusihukumu mbinu hizi zinapofanyika kwa sasa ,bali kwa impact yake hapo badae ,yumkini wangine wakaiga .Maendeleo yote ya kisayansi kwa sasa duniani waazilishi wake walikuwa wakifanya mambo ukiyafikiria kwa jicho la kawaida ni kama ya kijinga jinga ,utoto utoto lakini impact yake ndio inanufaisha dunia kwa sasa .Tutangaze kwa kumtumia Rais na tuamini itakuwa njia bora .
 
Tatizo ni ushamba wako! Kwa iyo Rais Kagame alivyofanya Royal Tour alifanya kama Diwani?

Kilaza wewe
Lord Denning alikuwa a natural thinker mzuri sana. Mtu ye yote mwenye akili na maadili hawezi kumwacha Rais wetu anaamrishwa na producer wa film wa nchi kama Marekani kuhusu mkao mzuri ili picha nzuri ya utalii itokee! wakati Rais ana mambo chungu mzima yenye umuhimu mkubwa. Zile picha ambazo hazitatumika kwenye film zitatunzwa na nani? Halafu hiyo film ikianza kutumika itadumu kwa muda gani, miaka 5,10, 20? Na je Rais anajia kiwango chetu cha kutoa huduma kwa watalii? Jamani msaidieni Rais wetu mwambieni ukweli.
 
Back
Top Bottom