RAIS hatakiuka KATIBA akiteua WAZIRI-MPINZANI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RAIS hatakiuka KATIBA akiteua WAZIRI-MPINZANI...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, May 4, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kumekuwa na mjadala juu ya iwapo Rais atakiuka Katiba akiteua Waziri kutoka upinzani.Katiba ya sasa ya mwaka 1977 iliyofanyiwa mabadiliko mara kwa mara inaruhusu uteuzi wa Mawaziri kutoka popote.Lakini,Rais atalazimika kujadiliana,kabla ya uteuzi husika,na Waziri Mkuu.Uteuzi wa Mawaziri unasimamiwa na Ibara ya 55 ya Katiba.Ibara tajwa haimkatazi Rais kuteua Mawaziri kutoka popote kwakuwa haizungumzii suala la chama gani Waziri anapaswa kutoka.Ibara ya 55 inasomeka kwa kimombo kama ifuatavyo:
  55.​
  -(1) All Ministers who are members of Cabinet by virtue of Article 54
  shall be appointed by the President after consultation with the Prime Minister andthey shall be responsible for such offices as the President may, from time to time,by writing under his hand and the Public Seal, establish.​
  (2) In addition to the Ministers referred to in subarticle (1) the Presidentmay, after consultation with the Prime Minister, appoint Deputy Ministers. AllDeputy Ministers shall not be members of Cabinet.(3) The President may appoint any number of Deputy Ministers who shallassist Ministers in the discharge of their duties and functions.(4) All Ministers and Deputy Ministers shall be appointed from amongMembers of Parliament.(5) Notwithstanding the provisions of subarticle (4), in the event that thePresident is obliged to appoint a Minister or a Deputy Minister after dissolution ofParliament then he may appoint any person who was a Member of Parliament​
  before Parliament was dissolved.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi nyie mnamjua jk au mnamsikia? hakuna kipya atakuja nacho...yaan mi naendelea na mambo yangu mengine tu wala siwazi eti baraza jipya...
   
Loading...