Rais Erdoğan (Turkey) na uzalishaji wa bangi

  • Thread starter Alexander The Great
  • Start date

Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,067
Likes
5,579
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,067 5,579 280
Mkuu, ki dini unalizungumziaje hili swala! Nnavyojua ni haram kutumia bangi.
Kutumia kilevi kama bangi kwaajili ya starehe ni haramu, ila hapa tunaogelea kuhusu matumizi kwaajili ya matibabu mkuu.
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
2,325
Likes
1,498
Points
280
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
2,325 1,498 280
Kweli bangi ni haraam lakini hemp oil inatokana na mbegu za bangi zilizokamuliwa na haina ulevi kama zingine ambazo wanakamua kuanzia majani, mbegu mpaka mti wa mbangi na hii ina kilevi kwa kiwango kikubwa kwa hiyo naona ni haram.

Hiyo ya mafuta ya mbegu ni nzuri na inasaidia sana na haina kilevi kwani wanatumia tone moja au mbili tu

Sent from my SM using Tapatalk
Shukurani sana mkuu
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,067
Likes
5,579
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,067 5,579 280
Serikali ya tz inachelewa mapato kwa ujinga wake tu. bangi mbona haina madhara Kama ilivyo Tumbaku.

#halalisheni bangi tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
BANGI na MIRUNGI ikihalalishwa itaingizia Tanzania kipato kikubwa sana. Tatizo akili mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,251,652
Members 481,834
Posts 29,779,298