Rais Erdoğan (Turkey) na uzalishaji wa bangi

  • Thread starter Alexander The Great
  • Start date

Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,145
Likes
6,125
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,145 6,125 280
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan, asema Uturuki itaanza kuzalisha bangi upya.
5c35f6ea48a9b-jpg.991530

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan, amesema Uturuki itaanza tena kuzalisha bangi.

Erdoğan, alihudhuria kikao cha viongozi wa serikali za mitaa kilichofanyika ikulu na akufahamisha kwamba maadui wa Uturuki ambao wanajifanya ni marafiki walichukua wazo la kuzalisha bangi Uturuki na sasa hivi wanauza bangi na kujipatia kipato.

Rais Erdoğan, alisema kwamba wizara ya kilimo imeshaanza mchakato kuhusiana na suala hilo la kilimo cha bangi na kwamba Uturuki itaanza kuzalisha bangi upya.

Erdoğan, alisema katika miaka 16 ya uongozi wa chama cha haki na maendeleo (AK part) kiwango cha mfumko wa bei kimedumu katika wastani wa asilimia 9.54, kitu ambacho ni mafanikio makubwa ukilinganisha na serikali zilizopita.

Rais Erdoğan, alisema kwamba Uturuki itaingia katika hatua ambayo litakuwa ni taifa lenye nguvu na lililoendelea na kwamba kuhusiana na jambo hilo mtu yeyeto asiwe na wasiwasi.

-TRT
 
Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
2,093
Likes
4,539
Points
280
Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
2,093 4,539 280
Isingekuwa Qatar uchumi wa uturuki ungedidimia sana. Qatar mshenzi sana alimpa msaada wa 14billion dollars bila kupapasa macho kumuokoa jamaa. Ndio maana kashikilia bango swala la kashoggi kumkomoa MBS na kumfurahisha Althani
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,145
Likes
6,125
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,145 6,125 280
Kwako na kwa wenzako watakao kurupuka kuandika UTUMBO.

Uhalali wa kutumia baadhi ya VILEVI (Cannabis) kwaajili ya matumizi ya TIBA (Medical USE) inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hii inatokana na SHERIA zilizotungwa na Umoja Mataifa (UN)

Sheria hizi zinazotumiwa na baadhi ya nchi kuhalalisha matumizi haya, mfano Bangi;

● The United Nations Single Convention on Narcotic Drugs (Ratified in 1961)

● The 1971 Convention on Psychotropic Substances and the 1988 Convention against Illicit Traffic in Narcotic Drugs and Psychotropic Substances .

NCHI ZILIZO HALALISHA MATUMIZI YA BANGI (Kwa Matibabu au Starehe, Moja wapo).

○ Uruguay
○ Canada
○ USA
○ South Africa
○ Spain
○ Netherlands
○ Australia
○ Chile
○ Colombia
○ Germany
○ Greece
○ Israel
○ Italy
○ Norway
○ Peru
○ Poland
○ Thailand

FAID YA MAUZO YA BANGI (According to FORBES September 3, 2016).

(Mapato/Returns kwa mwaka, za U.S.A kwa baadhi ya majimbo tu).

$406.7 million Minnesota.
$50 million Montana.
$7.1 million New Hampshire.
$17.4 million New Jersey ($37 million).
$17.2 million New Mexico ($54.2 million).
$91.1 million New York.
$633 million Rhode Island.
$106 million Massachusetts.
$2.75 billion Nevada ($102.7 million).
$1.56 billion Oregon.
$17.7 million Columbia.
$1 billion Washington.

Hoja;

☆ Je, kwanini Tanzania tusihalalishe KILIMO CHA BANGI kwaajili ya EXPORT nchi za nje??? (Annual Gain, Export Gain, Tax Gain n.k zikuwe kwa kasi ya SGR. Pamoja na kuongezeka kwa INVESTORS nchini).

☆ Je, (Miraa, Khat, Gomba) nchi jirani ya kenya ni halali kwa kilimo, biashara na matumizi yake.

FAIDA YAKE NCHINI KENYA KIUCHUMI (Ukiachilia mbali KODI).

Takriban raia 500,000 wa kenya wanategemea kilimo cha hio bidhaa kwaajili ya kujikimu kimaisha, na Uingereza (Britain) ndio mnunuzi mkubwa kwa kiasi cha $25 MILLION kwa mwaka (Kabla ya kusitishwa 2014). Zaidi ya Ndege za cargo 15 zinaondoka kenya kila siku kwenda Somalia, kwa mauzo yenye thamani ya $400,000.

*** Biashara gani Tanzania yenye kuingiza faida $400,000 kwa siku moja (Ukiacha BANK, TRA, TRAFIC POLICE, BANDARI)???.

*** Tanzania kwanini tusihalalishe kama wenzetu kenya ili tujikwamue kwa mapato??? (Tunakaa kukera na kusumbua wakulima wa KOROSHO na WAFANYABIASHARA tu).

Nawasilisha,
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,145
Likes
6,125
Points
280
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,145 6,125 280
Ganja Aka Msuba,hiyo kitu ni nzuri sana, waturuki nao wakipiga na kwenda kuinama inakuwa poa sana
Kibiashara ni nzuri, nchi inaweza kufanya kilimo cha kisasa cha bangi na ikawa inajaza ndege cargo kwenda kuuza nchi za nje, kwa mwaka ukaingiza hela zaidi ya mara mbili ya budget nzima ya nchi.

Sio lazima nchi ihalalishe matumizi yake. Tatizo letu watanzania hua tunakimbilia kutoa hukumu kabla ya kufanya TAFITI.
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,294
Likes
929
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,294 929 280
Kwako na kwa wenzako watakao kurupuka kuandika UTUMBO.

Uhalali wa kutumia baadhi ya VILEVI (Cannabis) kwaajili ya matumizi ya TIBA (Medical USE) inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hii inatokana na SHERIA zilizotungwa na Umoja Mataifa (UN)

Sheria hizi zinazotumiwa na baadhi ya nchi kuhalalisha matumizi haya, mfano Bangi;

● The United Nations Single Convention on Narcotic Drugs (Ratified in 1961)

● The 1971 Convention on Psychotropic Substances and the 1988 Convention against Illicit Traffic in Narcotic Drugs and Psychotropic Substances .

NCHI ZILIZO HALALISHA MATUMIZI YA BANGI (Kwa Matibabu au Starehe, Moja wapo).

○ Uruguay
○ Canada
○ USA
○ South Africa
○ Spain
○ Netherlands
○ Australia
○ Chile
○ Colombia
○ Germany
○ Greece
○ Israel
○ Italy
○ Norway
○ Peru
○ Poland
○ Thailand

FAID YA MAUZO YA BANGI (According to FORBES September 3, 2016).

(Mapato/Returns kwa mwaka, za U.S.A kwa baadhi ya majimbo tu).

$406.7 million Minnesota.
$50 million Montana.
$7.1 million New Hampshire.
$17.4 million New Jersey ($37 million).
$17.2 million New Mexico ($54.2 million).
$91.1 million New York.
$633 million Rhode Island.
$106 million Massachusetts.
$2.75 billion Nevada ($102.7 million).
$1.56 billion Oregon.
$17.7 million Columbia.
$1 billion Washington.

Hoja;

☆ Je, kwanini Tanzania tusihalalishe KILIMO CHA BANGI kwaajili ya EXPORT nchi za nje??? (Annual Gain, Export Gain, Tax Gain n.k zikuwe kwa kasi ya SGR. Pamoja na kuongezeka kwa INVESTORS nchini).

☆ Je, (Miraa, Khat, Gomba) nchi jirani ya kenya ni halali kwa kilimo, biashara na matumizi yake.

FAIDA YAKE NCHINI KENYA KIUCHUMI (Ukiachilia mbali KODI).

Takriban raia 500,000 wa kenya wanategemea kilimo cha hio bidhaa kwaajili ya kujikimu kimaisha, na Uingereza (Britain) ndio mnunuzi mkubwa kwa kiasi cha $25 MILLION kwa mwaka (Kabla ya kusitishwa 2014). Zaidi ya Ndege za cargo 15 zinaondoka kenya kila siku kwenda Somalia, kwa mauzo yenye thamani ya $400,000.

*** Biashara gani Tanzania yenye kuingiza faida $400,000 kwa siku moja (Ukiacha BANK, TRA, TRAFIC POLICE, BANDARI)???.

*** Tanzania kwanini tusihalalishe kama wenzetu kenya ili tujikwamue kwa mapato??? (Tunakaa kukera na kusumbua wakulima wa KOROSHO na WAFANYABIASHARA tu).

Nawasilisha,
Hapana aisee sisi wenyewe kabla hatujavuta bange Na kula miraa akili tayari zimenoki sasa tuongezee Na hizo dawa tena si ni shida tu hapo
 
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
2,843
Likes
3,077
Points
280
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
2,843 3,077 280
Kwako na kwa wenzako watakao kurupuka kuandika UTUMBO.

Uhalali wa kutumia baadhi ya VILEVI (Cannabis) kwaajili ya matumizi ya TIBA (Medical USE) inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hii inatokana na SHERIA zilizotungwa na Umoja Mataifa (UN)

Sheria hizi zinazotumiwa na baadhi ya nchi kuhalalisha matumizi haya, mfano Bangi;

● The United Nations Single Convention on Narcotic Drugs (Ratified in 1961)

● The 1971 Convention on Psychotropic Substances and the 1988 Convention against Illicit Traffic in Narcotic Drugs and Psychotropic Substances .

NCHI ZILIZO HALALISHA MATUMIZI YA BANGI (Kwa Matibabu au Starehe, Moja wapo).

○ Uruguay
○ Canada
○ USA
○ South Africa
○ Spain
○ Netherlands
○ Australia
○ Chile
○ Colombia
○ Germany
○ Greece
○ Israel
○ Italy
○ Norway
○ Peru
○ Poland
○ Thailand

FAID YA MAUZO YA BANGI (According to FORBES September 3, 2016).

(Mapato/Returns kwa mwaka, za U.S.A kwa baadhi ya majimbo tu).

$406.7 million Minnesota.
$50 million Montana.
$7.1 million New Hampshire.
$17.4 million New Jersey ($37 million).
$17.2 million New Mexico ($54.2 million).
$91.1 million New York.
$633 million Rhode Island.
$106 million Massachusetts.
$2.75 billion Nevada ($102.7 million).
$1.56 billion Oregon.
$17.7 million Columbia.
$1 billion Washington.

Hoja;

☆ Je, kwanini Tanzania tusihalalishe KILIMO CHA BANGI kwaajili ya EXPORT nchi za nje??? (Annual Gain, Export Gain, Tax Gain n.k zikuwe kwa kasi ya SGR. Pamoja na kuongezeka kwa INVESTORS nchini).

☆ Je, (Miraa, Khat, Gomba) nchi jirani ya kenya ni halali kwa kilimo, biashara na matumizi yake.

FAIDA YAKE NCHINI KENYA KIUCHUMI (Ukiachilia mbali KODI).

Takriban raia 500,000 wa kenya wanategemea kilimo cha hio bidhaa kwaajili ya kujikimu kimaisha, na Uingereza (Britain) ndio mnunuzi mkubwa kwa kiasi cha $25 MILLION kwa mwaka (Kabla ya kusitishwa 2014). Zaidi ya Ndege za cargo 15 zinaondoka kenya kila siku kwenda Somalia, kwa mauzo yenye thamani ya $400,000.

*** Biashara gani Tanzania yenye kuingiza faida $400,000 kwa siku moja (Ukiacha BANK, TRA, TRAFIC POLICE, BANDARI)???.

*** Tanzania kwanini tusihalalishe kama wenzetu kenya ili tujikwamue kwa mapato??? (Tunakaa kukera na kusumbua wakulima wa KOROSHO na WAFANYABIASHARA tu).

Nawasilisha,
Jiwe hawapendi matajiri aruhusu kilimo Cha bangi halafu wananchi muwe jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,774
Likes
8,193
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,774 8,193 280
Kuruhusu bangi sio kwa ajili ya kuuza kama uvutaji bali litakuwa zao la biashara kwa ajili ya matibabu.

Bangi ni dawa nzuri ambayo inaruhusiwa nchi nyingi duniani kwa sasa.
Hivi karibuni UK pia wamekubali baada wa mjadala na utafiti wa miaka sasa wamekubali rasmi kupewa wagonjwa

Nafikiri wataalamu wetu wangeanza kuliangalia hili kwa kuwapa wagonjwa wenye Parkinson's disease na epilepsy maana inasaidia sanaSent from my SM using Tapatalk
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
2,648
Likes
1,769
Points
280
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
2,648 1,769 280
Kuruhusu bangi sio kwa ajili ya kuuza kama uvutaji bali litakuwa zao la boashara kwa ajili ya matibabu.

Bangi ni dawa nzuri ambayo inaruhusiwa nchi nyingi duniani kwa sasa.
Hivi karibuni UK pia wamekubali baada wa mjadala na utafiti wa miaka sasa wamekubali rasmi kupewa wagonjwa

Nafikiri wataalamu wetu wangeanza kuliangalia hili kwa kuwapa wagonjwa wenye Parkinson's disease na epilepsy maana inasaidia sanaSent from my SM using Tapatalk
Mkuu, ki dini unalizungumziaje hili swala! Nnavyojua ni haram kutumia bangi.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,774
Likes
8,193
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,774 8,193 280
Mkuu, ki dini unalizungumziaje hili swala! Nnavyojua ni haram kutumia bangi.
Kweli bangi ni haraam lakini hemp oil inatokana na mbegu za bangi zilizokamuliwa na haina ulevi kama zingine ambazo wanakamua kuanzia majani, mbegu mpaka mti wa mbangi na hii ina kilevi kwa kiwango kikubwa kwa hiyo naona ni haram.

Hiyo ya mafuta ya mbegu ni nzuri na inasaidia sana na haina kilevi kwani wanatumia tone moja au mbili tu

Sent from my SM using Tapatalk
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,294
Likes
929
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,294 929 280
Ati wanasema tulime tuuze tu bila kubwia
inawezekanaje?
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,396
Likes
2,925
Points
280
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,396 2,925 280
Soon utasikia Tanzania inaingiza bangi kutoka. Nje kuja kuuzwa nchini!
---Bangi ya Tanzania inapendwa sana ulaya kwa kua inalimwa bila kutumia kemikali
------Kampuni la MoSaNto laingiza Tanzania mbegu za bangi zilizobireshwa kwa ajili ya utafiti
----Kampuni ya kimarekani yajimilikisha ekari 600,000 kwa ajili ya kilimo cha bange
 
Forum statistics

Threads 1,273,205
Members 490,323
Posts 30,473,954