HIVI MAGARI IYA DFP NI YA SERIKALI??Gari kama ili ni DFP 8323 liko bar muda hapa Mbeya Carnival, dereva anakula maraha!View attachment 327822
Donor Funded Projects...magari ya miradi ya wafadhiliHIVI MAGARI IYA DFP NI YA SERIKALI??
TUANZIE HAPA
Donor Funded Projects...magari ya miradi ya wafadhili
Donnor Fundend Projects...sawa kabisa hawa hawana ratiba pangwa kama STGHIVI MAGARI IYA DFP NI YA SERIKALI??
TUANZIE HAPA
JE UNAJUA WATU WA DFP NI WATU WA MASAFA ? JE KAMA DEREVA ANASAFIRI KUTOKA DAR KWENDA TUNDUMA NDIYO ANAFIKA MBEYA NOW JE ASIPATE CHOCHOTE CHA KUBUST HATA REDBULL YA KUONGEZA ENERGY??
AU DEREVA KAKUZIDI KETE KWA BAR MAID HAPO NDIO UMEKUJA KUMUUMBUA HUKU?
HahahahaMshamba huyo yeye akiona DFP anajua ni serikali tu haya mengine ni zuga tu hayana hata namba kamata alafu uone mziki, acha umbea