Senior member1
Member
- May 10, 2015
- 9
- 2
Rais Duterte: Ufilipino haijavunja uhusiano na Marekani
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesema havunji uhusiano baina ya nchi yake na Marekani, bali anatenganisha sera za mambo ya nje za nchi yake na zile za Marekani.
Rais Duterte alitangaza juzi Alhamisi akiwa jijini Beijing nchini China kuhusu nchi yake kujitenga na Marekani katika sekta za kijeshi na kiuchumi, hali iliyoifanya serikali ya Marekani kutaka kupata ufafanuzi wa tamko hilo.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari leo Jumamosi kwenye jiji la Davao nchini Ufilipino, Rais Duterte amesema kile alichomaanisha sio kuvunja uhusiano baina ya nchi yake na Marekani. Aliongeza kuwa alimaanisha kusema sera za mambo ya nje za Ufilipino hazipaswi kufungamana mara zote na zile za Marekan