Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar

Unashangaa wakristo zenj mbona Chaz hilari Ni mkristo Na Ni mzenji
Zanzibar Waislamu na wakristo lived together in harmony - true sister and brothers ,hadi that fateful day wachumia tumbo wachache wamemwaga chuki. Jecha ni mwendelezo wa upupu.
 
N kaka wa Tanzania's sweetheart Wema Isaack Sepetu......??? Wanaomfahamu tafadhali msaada
Pisha huko,, tangu lini Wema amekuwa mtoto wa Isaack Sepetu? Sema ni mtoto wa baba mkubwa/mdogo wa Wema!!
 
Back
Top Bottom