Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar

mbona hao wengine wamekaa? niimezoea kuona wote husimama kama ni ofisini.
 
Dispense justice bila fear or favour, humble Zanzibaris watakuelewa. Pool vipi bana?
 
Mzee Isack alikuwa mkristo ila ninadhani ndoa na mazingira ndo yalileta mabadiliko
 
Huko Zanzibar hakuna wengine, mbona nihaohao, au walipindua usultan na kuweka ufalme wa kienyeji. Babu, baba,watoto,wajukuu. Karume, Kombo, Kisasi,Talib,Jumbe... au hao wengine wasiokuwa na majina ya kimapinduzi hawaaminiki
Kila mmoja anaaminika sema hujabahatika tu kuwasikia wapo wengi sana.
 
Pisha huko,, tangu lini Wema amekuwa mtoto wa Isaack Sepetu? Sema ni mtoto wa baba mkubwa/mdogo wa Wema!!
Sikujua hata jamii forum tunajadili mambo ya udaku na uwema nilijua hapa ni home of great thinkers tunajadili mambo makubwa ya nchi.
 
Kwani uliambiwa Zanzibar ni jamhuri ya kiislamu?


Kaka unauliza au unaleta ngonjera. Kama sio Jamhuri ya Kiislam kwa nini wakati wa mfungo wa Ramadhan ukionekana wanapiga marufuku watu kula mchana?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom