Rais Donald Trump apiga Marufuku Wasenge na Wasagaji kujiunga na Jeshi la Marekani

Tabia za kisenge zingechukiwa kwa dhati kama hasira za huu uzi hakika zingetokomea.Lakini ajabu mnachukia mdomoni ila mnazipenda moyoni.
 
Ingekuwa Tz ungewaona akina kijo bisimba wakitoa kauli ya kulaani katazo hilo huku akiungwa mkono na wakili msomi ananyea debe kwasasa pamoja na rais wa mioyo yao huku nyumbu wa jf wakilalamikia katazo wakiongozwa na salary slip
Mama Wewe kwanza hoja zako dhaifu kazi kuchafua watu tu. Tuambie au na Wewe umebadili jinsi kwasababu Tania hizo tunamashaka nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanapinga mpaka yale ambayo kwa miaka kumi iliyopita walikuwa ndio wana ya lalamikia Bungeni. Ila leo ndio Mkuu akisema anayafanyia kazi wao wana kataa. Natamani kujua wana tokea nchi gani hawa nyumbu??
Hawa ni wakusamehewa tu
 
ingekuwa bongo tundu lisu angekua anamuomba data elton john, ili akafungue kesi na pia wangeendaa ICC ya seif madevu
 
Waliozuiwa kujiunga na jeshi la Marekani ni wale waliobadili jinsia zao walizozaliwa nazo na sababu hasa ikiwa ni gharama za matibabu.
 
Back
Top Bottom