Rais Dkt. Mwinyi: Zanzibar inaandaa utaratibu wa kuwawezesha mahujaji kupata chanjo ya COVID 19

Ishauri serikali iende huko Uchina, Urusi na Cuba kutafuta chanjo za zinazoponesha corona wewe na huyo nabii wa uongo anaedai anafufua waliokufa.,

Samia alipowambia yeye na mwendazake ni kitu 1 mulikata mbuno pale bungeni na kugonga mameza na makofi kibao sasa angalia ndani ya siku zake 100 alivyobadilisha mambo ili ujuwe nyinyi na genge lenu la mwendazake nchi mulikuwa munaipeleka pabaya., gwajima ni katika mazalia ya mwendazake ndio mana anajaribu kuleta mtazamo wa mwndazake ambao ulikuwa moja kwa moja nchi inaendakuwa failed state.,

Ukitaka wewe pamoja na mzee wa ufufuo utachomwa sindano kujikinga na corona ili kuungana na mtazamo wa kilimwengu hutaki hutalazimishwa. Nchi haiwezi kurudi tulikokuwa na mwendazake ile mama yuko kitu 1 mulikuwa mnazibwa macho tu nyi msiojijua., sukuma geng
Lipi la serious alilofanya kwenye corona?
 
Back
Top Bottom