PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar

PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.

1743530348744.png
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka kushiriki Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika Msikiti wa Jamiu Zinjibar Mazizini alikutana na Masheikh wa Zanzibar.

1743530387802.png

1743530402276.png

1743530417621.png
 
Back
Top Bottom