PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inaeleza kuwa sababu za Rais Mwinyi kufanya uamuzi huo ni kwaajili ya kutoa nafasi kwa wananchi wa Zanzibar kushiriki katika zoezi la kupiga kura ili kutekeleza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wanaowataka
Pamoja na hatua hiyo, Rais Dkt Mwinyi amewataka wananchi kufata miongozo na maelekezo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ili kufanikisha zoezi hilo kwa salama na amani.