Rais Dkt. Mwinyi ashiriki maziko ya Boraafya Silima

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar amejumuika na wananchi, viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na Serikali katika sala ya maiti aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Mjini Boraafya Silima, Msikiti wa Mwembeshauri Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 19 Novemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi ameshiriki pia katika maziko ya Mzee Boraafya Kijijini Ndijani, Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
IMG-20231119-WA0004.jpg
IMG-20231119-WA0007.jpg
IMG-20231119-WA0010.jpg
IMG-20231119-WA0008.jpg
IMG-20231119-WA0005.jpg
IMG-20231119-WA0009.jpg
IMG-20231119-WA0006.jpg
 

Attachments

  • IMG-20231119-WA0008.jpg
    IMG-20231119-WA0008.jpg
    95.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom