Rais Dkt. Mwinyi akumbusha umuhimu wa Amani

Rais Dkt. Mwinyi akumbusha umuhimu wa Amani

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na baadae kushiriki Dua Maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Jumuiya ya Fysabilillah Tabligh Markaz Zanzibar Msikiti wa Mwembe Shauri, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 15 Desemba, 2023.

Aidha, Rais Dk. Mwinyi amesema siasa zimetulia, amani ipo, watu ni wamoja tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu aidumishe amani iliyopo , umoja na mshikamano kwa watu na upendo.

Pia ameushukuru Uongozi wa ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar kwa uratibu mzuri wa shughuli za dini nchini.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali , Chama cha Mapinduzi na Dini.View attachment 2843444
IMG-20231215-WA0062.jpg
IMG-20231215-WA0070.jpg
IMG-20231215-WA0069.jpg
IMG-20231215-WA0068.jpg
IMG-20231215-WA0067.jpg
IMG-20231215-WA0065.jpg
IMG-20231215-WA0064.jpg
IMG-20231215-WA0066.jpg
IMG-20231215-WA0066.jpg
IMG-20231215-WA0063.jpg
 
Amani ndio kilakitu, ila Maendeleo ni muhimu pia.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Bila amani hakuna maendeleo maandamano bila kibali marufuku!
 
Ukihakikisha HAKI inatendeka ,basi automatically AMANI inakuja yenyeww
 
Back
Top Bottom