Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuli kakataa kuishi Dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
Mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Ni kweli hata ya majengo marefu ya mawizara mbali mbali yatahamishiwa Dodoma.
Ata kuhamia Dodoma ni mabadiriko pia.Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Tunajua wewe ni miongoni mwa yale mashetani ya ukawa ambayo hayapendezwi na pilika pilika nzuri za Dr wa ukweliHata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Hueleweki mtanzania mkenya maana umekaa neutral, ukisikia mazuri ya Kenya unakuwa mkenya, ukiona zuri la huku unakuwa Mtz, hebu simama sehemu moja maana sisi Dual citizen
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Dodoma hakuna juice ya maembe huko, ni ukame mtupu. usafi ni kawaida ya ikulu akiingia rais mpya