Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.
Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Nimepewa tetesi kuwa Rais Magufuri kakataa kuishi dar na ameagiza kuhamishiwa Dodoma yalipo makao makuu ya nchi.
mlio jikoni tupeni uhalisia wa hili
Hata SHEMEJ shughuli nyingi alifanyia Dodoma (Chamwino)Ikulu ndogo ya Chamwino imeanza kufanyiwa Usafi tayari Kumpokea Rais Magufuli. Inasemekana hata Waziri Mkuu ataapishwa katika hii Ikulu ndogo ya Chamwino.
Shughuli nyingi za Rais, zitafanyika kutokea kwenye hii Ikulu.
Hata ahamie mbinguni watanzania wanataka mabadiliko sio ujanja ujanja na danganya toto
Akifanya hivyo itakuwa vizuri sana maana maofisi mengi yatahamia huko!!