JPM ni lulu, tukiipoteza tutakuja kujutaWakenya wanamkubali Sana JPM, Sisi ndo unaleta uhuni WA kumbeza rais wetu
Wanamkubali kwa lipi au wanavutiwa na media zinavyompamba?JPM ni lulu, tukiipoteza tutakuja kujuta
Media zinampamba kwasababu anafanya vizuri, kwanini uhuru, mseveni na wengine wasipambwe?
Kabisa.Wakenya wanatamani JPM awaongoze hata kwa dk 2
wote tunaridhika na uongoZi wa magufuli,tatzo kitendo cha kuminya demokrasia ya nchi na kukandamiza upinzani ndio kinatuuz wananchi.Wakenya wanamkubali Sana JPM, Sisi ndo unaleta uhuni WA kumbeza rais wetu
Nabii hasifiwi nyumbani. Wakenya wanaujua ubora wakimlinganisha na wagombea wao
Wapinzani wana inferiority complex. Wao wakubali tu kuwa JPM ni jembe wakifanya ujinga tu kwa hofu ya uchapakazi wake watapoteana.wote tunaridhika na uongoZi wa magufuli,tatzo kitendo cha kuminya demokrasia ya nchi na kukandamiza upinzani ndio kinatuuz wananchi.
nakuelewa,sasa kama kweli huyu rais ni mchapakazi na ni jembe bas akubali kila k2 kiendelee kama kilivyo,nazan unaona huu uonevu wa waziwazi katika kuua upinzan, nn maana ake,,,maana akee aajua anaudhaifu ambao wapinzan wanaweza kuusema wazwaz, angalia wanavyomsakama mbowe,,lema,lowasa,lissu,mdee,,hzo zote ni fitina za kutaka kunyang'anya majimbo 2020, brthr hata kama ww ni ccm ,huu uonevu na ukandamizaji hauhtaj diploma kuugundua.OVERWapinzani wana inferioty complex. Wao wakubali tu kuwa JPM ni jembe wakifanya ujinga tu kwa hofu ya uchapakazi wake watapoteana.
JPM ni lulu, tukiipoteza tutakuja kujuta
Kwan wakenya kwenye siasa wanajua lolote zaidi ya ukabila na siasa za kizamani!!!Wakenya wanatamani JPM awaongoze hata kwa dk 2
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Nyie vinyonga leo mnawaponda wakenya kwa sababu wanamsifia Magufuli?Kwan wakenya kwenye siasa wanajua lolote zaidi ya ukabila na siasa za kizamani!!!
Nenda kule kericho uone wagombea wanacho fanya.
Hivi,karne hii ni karne ya kufanya siasa za door to door ku donate madrum kwa maskin,wheelchairs kwa kilema? Kwan mulikuwa hamuwaoni kabla ya kugombea?
Kwa ushamba huo,lazma wasifie ujinga ujinga tuu.
Unafikiri ubaya wa mtu unapimwa kwa chuki binafsi na husda kama mnazozionesha vijana wa CHADEMA kwa JPM? Mtahwngaika sana awamu hiiSiyo tu mkojo,wewe unapaswa kupimwa na "haja kubwa", ubora wa mtu haupimwi kwa mahaba uliyonayo kwake,hupimwa kwa vigezo maalumu kupitia ulinganifu maalumu katika nyanja za uongozi baina yake na viongozi wa mataifa mengine wa ngazi yake!
Kukurupuka na kumuita " rahisi bora Afrika"bila kuainisha vigezo vilivyotumika kumpa huo ubora na ubora wake ulipimwa kwa kumlinganisha na kina nani,hiyo ni dalili ya mwisho ya ukosefu wa "marinda", unapaswa kupitia vipimo vyote vya haja kubwa na ndogo ili tufahamu uwezo wako kiakili.
Kung'ang'ania kuwa mmenyiwa uhuru wa kufanya siasa, hayo ni maneno ya mfa maji. Kwaji hamna cha kuwafanyia wananchi wakawaelewa zaidi ya kwenda kupiga porojo?nakuelewa,sasa kama kweli huyu rais ni mchapakazi na ni jembe bas akubali kila k2 kiendelee kama kilivyo,nazan unaona huu uonevu wa waziwazi katika kuua upinzan, nn maana ake,,,maana akee aajua anaudhaifu ambao wapinzan wanaweza kuusema wazwaz, angalia wanavyomsakama mbowe,,lema,lowasa,lissu,mdee,,hzo zote ni fitina za kutaka kunyang'anya majimbo 2020, brthr hata kama ww ni ccm ,huu uonevu na ukandamizaji hauhtaj diploma kuugundua.OVER
Wanatania tuu,wakenya siyo watu wa mchezo mchezo.Naogopa sana siku hizi kila nikiandika nawekwa detention sijui kuna nini.Nikirudi kwenye katiba ya JMT nakuta ibara ya 18 inanipa uhuru wa kutoa maoni,nashangaa ,where do we dare to talk openly?Wakenya wanatamani JPM awaongoze hata kwa dk 2