Rais bora Afrika Dkt. Magufuli awa turufu kwenye uchaguzi mkuu wa nchini Kenya

Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
4,946
2,000
LOWASA kafuata nini Kenya tena?
Si atulie tu baada ya kufanikiwa kuipotezea DIRA CHADEMA.
 
Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,366
2,000
Wapinzani wana inferioty complex. Wao wakubali tu kuwa JPM ni jembe wakifanya ujinga tu kwa hofu ya uchapakazi wake watapoteana.
nakuelewa,sasa kama kweli huyu rais ni mchapakazi na ni jembe bas akubali kila k2 kiendelee kama kilivyo,nazan unaona huu uonevu wa waziwazi katika kuua upinzan, nn maana ake,,,maana akee aajua anaudhaifu ambao wapinzan wanaweza kuusema wazwaz, angalia wanavyomsakama mbowe,,lema,lowasa,lissu,mdee,,hzo zote ni fitina za kutaka kunyang'anya majimbo 2020, brthr hata kama ww ni ccm ,huu uonevu na ukandamizaji hauhtaj diploma kuugundua.OVER
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,058
2,000
JPM ni lulu, tukiipoteza tutakuja kujuta

Siyo tu mkojo,wewe unapaswa kupimwa na "haja kubwa", ubora wa mtu haupimwi kwa mahaba uliyonayo kwake,hupimwa kwa vigezo maalumu kupitia ulinganifu maalumu katika nyanja za uongozi baina yake na viongozi wa mataifa mengine wa ngazi yake!

Kukurupuka na kumuita " rahisi bora Afrika"bila kuainisha vigezo vilivyotumika kumpa huo ubora na ubora wake ulipimwa kwa kumlinganisha na kina nani,hiyo ni dalili ya mwisho ya ukosefu wa "marinda", unapaswa kupitia vipimo vyote vya haja kubwa na ndogo ili tufahamu uwezo wako kiakili.
 
realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,221
2,000
Wakenya wanatamani JPM awaongoze hata kwa dk 2
Kwan wakenya kwenye siasa wanajua lolote zaidi ya ukabila na siasa za kizamani!!!

Nenda kule kericho uone wagombea wanacho fanya.

Hivi,karne hii ni karne ya kufanya siasa za door to door ku donate madrum kwa maskin,wheelchairs kwa kilema? Kwan mulikuwa hamuwaoni kabla ya kugombea?

Kwa ushamba huo,lazma wasifie ujinga ujinga tuu.
 
JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Nyie vinyonga leo mnawaponda wakenya kwa sababu wanamsifia Magufuli?
 
JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000
Siyo tu mkojo,wewe unapaswa kupimwa na "haja kubwa", ubora wa mtu haupimwi kwa mahaba uliyonayo kwake,hupimwa kwa vigezo maalumu kupitia ulinganifu maalumu katika nyanja za uongozi baina yake na viongozi wa mataifa mengine wa ngazi yake!

Kukurupuka na kumuita " rahisi bora Afrika"bila kuainisha vigezo vilivyotumika kumpa huo ubora na ubora wake ulipimwa kwa kumlinganisha na kina nani,hiyo ni dalili ya mwisho ya ukosefu wa "marinda", unapaswa kupitia vipimo vyote vya haja kubwa na ndogo ili tufahamu uwezo wako kiakili.
Unafikiri ubaya wa mtu unapimwa kwa chuki binafsi na husda kama mnazozionesha vijana wa CHADEMA kwa JPM? Mtahwngaika sana awamu hii
 
JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000
nakuelewa,sasa kama kweli huyu rais ni mchapakazi na ni jembe bas akubali kila k2 kiendelee kama kilivyo,nazan unaona huu uonevu wa waziwazi katika kuua upinzan, nn maana ake,,,maana akee aajua anaudhaifu ambao wapinzan wanaweza kuusema wazwaz, angalia wanavyomsakama mbowe,,lema,lowasa,lissu,mdee,,hzo zote ni fitina za kutaka kunyang'anya majimbo 2020, brthr hata kama ww ni ccm ,huu uonevu na ukandamizaji hauhtaj diploma kuugundua.OVER
Kung'ang'ania kuwa mmenyiwa uhuru wa kufanya siasa, hayo ni maneno ya mfa maji. Kwaji hamna cha kuwafanyia wananchi wakawaelewa zaidi ya kwenda kupiga porojo?
 
gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,387
2,000
Jpm anasiwa na Wajaluo ambao ni washamba kama wasukuma tu. Born town wote ni team Uhuru Kenyatta team Lowasa
 
Top Bottom