Rais awaasa wachezaji wa timu ya taifa

Rais awaasa wachezaji wa timu ya taifa

Hapo hajawaasa bali amewaambia uzoefu wake enzi zake. Hao wachezaji wanaye kocha. Rais akifanya ya kocha, kocha atakuwa analipwa kwa lipi?

Rais afanye yake kama rais. Awasikilize watu anaowaongoza badala ya kuwa kama alivyo. Sipendi.
 
Anaawasa Nini wakati yake tu yanamshinda, inchi imekuwa Kama tuko Afghanistan.....[emoji3525][emoji3525]
 
Back
Top Bottom