TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,589
- 28,653
KUTOKA KIJIWENI
Kweche: Hii ni hali ya hatari !
Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni?
Kweche: Hii ni hali ya hatari !
Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni?
Kweche: Madaktari wote wamegoma, walianza wale wakawaida, sasa nasikia na madaktari bingwa nao wamegoma, unajua madaktari bingwa wana digrii za udaktari nyingi sana.
Lujei:Nasikia na Chikwete mkuu wa kaya anazo digrii za udaktari zaidi ya tano, kwa vyovyote atakuwa amegoma, ni daktari mbingwa yule ati.
Lujei:Nasikia na Chikwete mkuu wa kaya anazo digrii za udaktari zaidi ya tano, kwa vyovyote atakuwa amegoma, ni daktari mbingwa yule ati.