Rais wa Nigeria,Goodluck Jonathan, ametangaza msamaha kwa Wanamgambo wa Boko Haram wanaoendelea na mapambano dhidi ya Serikali ya Nigeria. Msamaha huo utawahusu Wanamgambo wote wa Boko Haram ambao watajisalimisha kwa Majeshi ya Serikali bila shuruti. Rais Jonathan ameapa kumaliza ugaidi nchini mwake kwa njia yoyote ile.
Chanzo: Habari za Dunia,DW Radio...saa saba mchana huu