Rais Apokea Watoto

Rais Apokea Watoto

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
14034812_1202613119802680_6003063346276438469_n.jpg
 
anatembea na pesa za umma wasukuma kwa kutaka sifa.

swissme
 
Kumbe tulidanganywa kuwa Rais akifanya ziara mikoani hatovaa sare za chama chake!
 
Bado Series of Movies zinaendelea ......vipi push up????????????vip Tz. ya viwanda???????
vip chuo kikuu cha madini kanda ya ziwa???????vipi maisha ya kati kwa Watz. wote????????????Vipi kuondoa ujinga uliopitiliza,umasikini,maradhi,ufisadi?????????katiba mpya ya wanachi chini ya Tume ya Warioba iliyoondoa Kinga kwa Rais,Tume Huru ya Uchaguzi,Kufuta ukada wa CCM uDC,RC n.k???????au tunapalilia,weka mbolea na kumwagilia maji TU??????????
 
hata hivyo hajawahi kuvaa mkuu kwa shughuli za kiselikali jaribu kufatilia, hiyo picha ilikuwa kipindi cha kampeni alikuwa kanda ya kusini sema sikumbuki ni mkoa gani, ila sijajua mleta picha ana maana gani kuzileta leo!!!
 
Bado Series of Movies zinaendelea ......vipi push up????????????vip Tz. ya viwanda???????
vip chuo kikuu cha madini kanda ya ziwa???????vipi maisha ya kati kwa Watz.
Maendeleo siyo mazingaombwe mkuu kwamba you just snap your fingers na vitu vinakuwa. Yanahitaji hardworking, dedication, commitment na stability. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kufumba na kufumbua. Na sisi Watanzania na ulalamikaji wetu huu sidhani kama tutakaa tuendelee. Labda aje masihi atutawale!
 
Bado Series of Movies zinaendelea ......vipi push up????????????vip Tz. ya viwanda???????
vip chuo kikuu cha madini kanda ya ziwa???????vipi maisha ya kati kwa Watz. wote????????????Vipi kuondoa ujinga uliopitiliza,umasikini,maradhi,ufisadi?????????katiba mpya ya wanachi chini ya Tume ya Warioba iliyoondoa Kinga kwa Rais,Tume Huru ya Uchaguzi,Kufuta ukada wa CCM uDC,RC n.k???????au tunapalilia,weka mbolea na kumwagilia maji TU??????????
Yote hayo ndani ya miezi 9?
 
Maendeleo siyo mazingaombwe mkuu kwamba you just snap your fingers na vitu vinakuwa. Yanahitaji hardworking, dedication, commitment na stability. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kufumba na kufumbua. Na sisi Watanzania na ulalamikaji wetu huu sidhani kama tutakaa tuendelee. Labda aje masihi atutawale!
Nguvu ya Magufuli imewatisha hawa jamaa.
 
Yote hayo ndani ya miezi 9?
Shida ni hakuna Prority wala Scale of Prerefence kwa Taifa..lipi linaanza na lipi lina isha...mambo ni mchanganyiko kama MSETO..na nusunusu...mfano suala la mankotena tu bandari limeshia wapi???????????n.k
 
Huyo mtoto mbele hapo kakaa kama anaweza kuanguka sekunde yoyote ile.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Shida ni hakuna Prority wala Scale of Prerefence kwa Taifa..lipi linaanza na lipi lina isha...mambo ni mchanganyiko kama MSETO..na nusunusu...mfano suala la mankotena tu bandari limeshia wapi???????????n.k
Anyway, nyie politicians know better than I. Naona mkulu ahadi za miaka 10 anatakiwa azitimize in less than a year
 
Katpike na ujinyonge kabisa. Maana utaiona rangi hiyo ikikutawala mpaka unakufa.
Hiyo rangi itatawala watu hopeless kama wewe,sio mimi...Tena usirudie tena kuongea huo upuuzi,...duwanzi wwe.
 
Back
Top Bottom