Rais apingwa tena: Msajili wa HAZINA asema si kosa shirika kufungua fixed account

Serikali ilikurupuka, si wangechukua hiyo riba?Pia kuweka fixed kuna ipa bank uhakika wa kukopesha hela na kurudisha kabla y amwenye pesa kuja ichukua.Pia ni znuri kwa serikali ili wafanyakazi wasiibe kirahiisi.
 
Wafanyabiashara na wenye mabenki ni wajanja kuliko mnavyofikiri. Unaweza kua unapeleka gari za serikali kufanyiwa service katika gereji flani na zikatozwa gharama za kawaida kabisa, lakini kile kitendo cha kupeleka tender pale tu tayari unakula commission yako ambayo haipo katika utaratibu rasmi na wala haitaonekana ktk muamala. Ikumbukwe fedha zote za TRA zinahifadhiwa benk kuu ila hawa wakapokea mgao kutoka serikalini kwa ajili ya shughuli za maendeleo kwao wao wakaamua kuziweka FD ili zizalishe wapate faida. Kitendo cha kuweka fedha pale tayari kimewanufaisha wenye benk ambao inawezekana walikua na hali ngumu ya kifedha wanazizungushia na kupata faida, fadhira ambayo ingerudishwa isingeonekana kwenye miamala. Swali la kujiuliza kama ni kawaida fedha zinazotengwa kwenye bajeti ya serikali ambazo zinapitishwa na bunge ni halali kuwekwa FD, Je bunge lilipitisha kua chanzo mojawapo cha mapato ya serikali ni faida itokanayo na FD ya fedha za serikali? Ili faida hiyo iingie katika mipango ya serikali. Kama ni halali basi na halmashauri pamoja taasisi zingine ziweke FD pesa za maendeleo ili zipate fedha za kutosha maana kila siku wanalalamika fedha zinafika lakin hazitoshi
 
sasa wataalam wa uchumi ndani kabisa ya serikali wameamua kuwapiga ngumi za chembe,vumilieni,alianza beno ndulu
 
MKEMIA NA MCHUM NAN AAMINIWE KWENYE HILI? MKEMIA BWANA WE SIO MDOGOAKE MUNGU KUBAL KUSHAULIWA NA WATAALAM
 
Nanukuu: Mwenyekiti wa Chama cha Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema kinachoonyeshwa na Rais John Magufuli katika kazi zake ni tabia zake binafsi, badala ya utendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…