Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

PHD ya Misitu hawezi danganywa na Diploma wa civil engineering? wewe una PHD ya nini kiasi cha kutoa hoja mfu kama hii?

Nilivyokua undergraduate kuna undergraduate mwenzangu wa political science alienda kwao akakuta amerundikiwa maredio kutengeneza ati kwa sababu tuu anasoma chuo kikuu, sawasawa na hoja yako! I doubt kama una PHD! au ni kama za wakuu wengine ambazo wanajua wenyewe wamezipataje!
 
Unalotafuta utapata
 
Inajiludia = inajirudia

Kili = kiri

Ndugu msomi wa PhD kama hujui kuandika mimi nawashawishi vipi wanafunzi wangu wa darasa la nne waandike vizuri?
Katika lungha adhimu ya kiswahili kuna kipengele cha makosa ya kisarufi na kuathiriwa kwa lugha mama, sasa hili jambo huwa hatulihusianishi sana na usomi wa mtu huwa tunasema mtu huyu ameathiriwa na lugha mama usihukumu kwa matamshi yake au uandishi wake, mfn. Kabila la watu wa Tarime nemo kulamba wanasema kuramba hapo r na l nikuathiriwa kwa lugha mama. Asante
Inajiludia = inajirudia

Kili = kiri

Ndugu msomi wa PhD kama hujui kuandika mimi nawashawishi vipi wanafunzi wangu wa darasa la nne waandike vizuri?
 

IPPMEDIA | The Guardian ,The Guardian on Sunday, Nipashe, Nipashe Jumapili
 

kwanza anaendaje ofisi za watu bila utaratibu, kuna anae enda ofisi yake magogoni kwa kushtukiza.. mambo aya tuanze nayo katika level ya familia.. baba unataka kuongea na kijana wako wa miaka 15 piga hodi.. ukifungua tu mlango kwa kushtukiza utakutana na video ya wazi paka unaweza uliza dah, dogo umetoa wapi iyo video! gonga hodi mpe nafasi dogo ajiandae. sembuse watu wazima wenye elimu zao na vyeo vyao.. tunashtuana kama wanyama bana! no ustaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…