Rais anapotembelea ofisi mbalimbali


kama una phd na unawaza ivo.. sijui ukiwa prof utakua kama huyu wa sasa anaelala ofisini, nahofu kama saivi utakua kama yule dr alieomba kazi baada ya kufukuzwa kwamba hana la kufanya. acha kuwaza ki tumwa na kwa kutokujiamini..
 
Na wewe ni dk? Kama ni hivyo basi tunazidi kuthihirisha matatizo ya elimu yetu.
 
Ungesema tu kuwa na wewe ni PHD Holder ungesomeka.
Umezunguka weeeeeeeeeeeeeee
 
Kabisa Mkuu kuwa na Phd hakumfanyi yoyote yule ambaye ni holder wa Phd kujua kila kitu.

KWA HIYO ANAPOULIZA ASIELEWESHWE,KILA MTU ANAKITENGO CHAKE SASA WEWE MGENI LAZIMA UMSIKILIZE MWENYEJI NA PIA UUMPE NAFASI AKUELIMISHE
 
Jamaa ana dharau sana na kwa akili yake kwa kuwa yeye ni Phd holder basi anajua kila kitu duniani kitu ambacho hakina ukweli wowote ule. Alitakiwa akae kimya aelezewe A to Z kisha ndiyo aulize maswali yake lakini kila mara wakianza kumpa maelezo anawaingilia na hatimaye AKASUSA!!! Sijui ALISUSA kwa faida ya nani!?

 
Mbona mbowe hana elimu lakini ameweza kiwaingiza mkenge mamilioni ya watz? Sio kila kitu ni elimu, na janja janja ni muhimu pia.
 
Maandishi yako hayaoneshi kabisa kama Na wewe ni msomi wa kiwango ulichosema, unarudia rudia maneno hayo hayo. Ujumbe wako mzuri hata mm naukubali kwa kiasi fulani but too much repeations
mzee sina haja ya ku prove kwako kuwa na PhD, kuhusu repetation ya maneno usijali kitu kikubwa ni information or message delivered
 
Kwani Rais kawa Mungu?

Watanzania bana, kwa unafki mko njema
Nimesha gundua humu JF watu wengi hawana maadili, tatizo jingine hata kwenda kanisani au misikitini hawaendi, hawaju bible inasemaje kuhusu mfalme, au mkuu wako wa kazi, Bible inasema Wakolosai 3:22-24, inazungumzia utii, tatizo kama nililo lisema adabu watu wengi hamna, Baba anasema na mtoto anasema.
 
Kwa hiyo ukishakua raisi mwenye PhD unakua unajua kila kitu na hupaswi kufundishwa tena? Ama ukiulizwa kila kitu ujibu ndiyo bosi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…