Kaya Nogu Sabho Ndamu
Member
- Sep 4, 2016
- 44
- 28
KWA HIYO ANAPOULIZA ASIELEWESHWE,KILA MTU ANAKITENGO CHAKE SASA WEWE MGENI LAZIMA UMSIKILIZE MWENYEJI NA PIA UUMPE NAFASI AKUELIMISHEJamani nimeona mara mbili sasa inajiludia, Raisi anapo tembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha raisi (kumlecture). Mi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na raisi, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajilekebisha kunatatizo gani?. Pia watu lazima wajue Raisi wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo lahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike. Mtu anae tuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwa nini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwa nini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajilekebisha au tutajilekebisha. Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia dont lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know. Nilipo kuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwa nini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia. Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga. Ujue watu kama hawa walio soma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau. Angalia hata Prof Muhongo, huwezi uka mshake kwa maneno yako yasio kuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man. Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa selekali yenye wasomi kama ya JPM. Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo. Sasa watanzania tubadilike. Raisi akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya. Mgwana anakubali na anabadilika
Kama kuna ukweli lazima rais aelezwe ukweli unless mtu akiwa anadanganya hapo ni kosaJamani nimeona mara mbili sasa inajiludia, Raisi anapo tembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha raisi (kumlecture). Mi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na raisi, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajilekebisha kunatatizo gani?. Pia watu lazima wajue Raisi wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo lahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike. Mtu anae tuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwa nini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwa nini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajilekebisha au tutajilekebisha. Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia dont lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know. Nilipo kuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwa nini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia. Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga. Ujue watu kama hawa walio soma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau. Angalia hata Prof Muhongo, huwezi uka mshake kwa maneno yako yasio kuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man. Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa selekali yenye wasomi kama ya JPM. Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo. Sasa watanzania tubadilike. Raisi akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya. Mgwana anakubali na anabadilika
Jamani nimeona mara mbili sasa inajiludia, Raisi anapo tembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha raisi (kumlecture). Mi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na raisi, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajilekebisha kunatatizo gani?. Pia watu lazima wajue Raisi wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo lahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike. Mtu anae tuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwa nini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwa nini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajilekebisha au tutajilekebisha. Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia dont lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know. Nilipo kuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwa nini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia. Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga. Ujue watu kama hawa walio soma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau. Angalia hata Prof Muhongo, huwezi uka mshake kwa maneno yako yasio kuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man. Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa selekali yenye wasomi kama ya JPM. Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo. Sasa watanzania tubadilike. Raisi akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya. Mgwana anakubali na anabadilika
kawaida akija mgeni kwanza husomewa taarifa ya alipoenda,sasa mgeni hataki taarifa ya eneo ambalo yeye si mtaalamu lakini analazimisha kwamba anajuaKWA HIYO ANAPOULIZA ASIELEWESHWE,KILA MTU ANAKITENGO CHAKE SASA WEWE MGENI LAZIMA UMSIKILIZE MWENYEJI NA PIA UUMPE NAFASI AKUELIMISHE
Duuuu na wewe una elimu gani? Kuwa na PhD ndo kujua kila kitu? Muungwana....Jamani nimeona mara mbili sasa inajiludia, Raisi anapo tembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha raisi (kumlecture).
Mi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na raisi, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajilekebisha kunatatizo gani?.
Pia watu lazima wajue Raisi wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo lahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike.
Mtu anae tuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwa nini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwa nini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajilekebisha au tutajilekebisha.
Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia dont lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know.
Nilipo kuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwa nini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia. Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder.
Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga. Ujue watu kama hawa walio soma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau. Angalia hata Prof Muhongo, huwezi uka mshake kwa maneno yako yasio kuwa na kichwa au miguu.
Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man. Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa selekali yenye wasomi kama ya JPM.
Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo. Sasa watanzania tubadilike. Raisi akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya. Mgwana anakubali na anabadilika
Bonge la wild beast kaziniWasomi wenye PHD ndio hao wakina profesa Lipumba wanaolala ofisini ? Hao wasomi wameisaidia nini nchi hii zaidi ya kujali matumbo yao tu Tanzania mwenye PHD na alieishia darasa la saba hawana tofauti
Tofauti ipo mkuuWasomi wenye PHD ndio hao wakina profesa Lipumba wanaolala ofisini ? Hao wasomi wameisaidia nini nchi hii zaidi ya kujali matumbo yao tu Tanzania mwenye PHD na alieishia darasa la saba hawana tofauti
Hizo taarifa someaneni ufipa huko huko.kawaida akija mgeni kwanza husomewa taarifa ya alipoenda,sasa mgeni hataki taarifa ya eneo ambalo yeye si mtaalamu lakini analazimisha kwamba anajua
ATAKUWA AMEFUNDISHWA NA LIPUMBA PALE BUGURUNI UNIVERSITYInajiludia = inajirudia
Kili = kiri
Ndugu msomi wa PhD kama hujui kuandika mimi nawashawishi vipi wanafunzi wangu wa darasa la nne waandike vizuri?
Na wewe ni mshamba sana what is PHD... Shame on nafikiri umesoma tiu bila kuelewa uneaanza vizuri lakini hapo kwa sindano na ya kupewa hapo ndiyo upeo wako umepotea kabisaNimeona mara mbili sasa inajirudia, Rais anapotembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha rais (kumlecture).
Mimi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na rais, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajirekebisha kunatatizo gani?.
Pia watu lazima wajue Rais wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo rahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike.
Mtu anayetuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwanini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwanini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajirekebisha au tutajirekebisha.
Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia don't lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know.
Nilipokuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwanini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia.
Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga.
Ujue watu kama hawa waliosoma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau.
Angalia hata Prof Muhongo, huwezi ukamshake kwa maneno yako yasiokuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man.
Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa serikali yenye wasomi kama ya JPM.
Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo.
Sasa watanzania tubadilike, Rais akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya.
Muungwana anakubali na anabadilika.
Wezi tu,magufuli humdanganyi anashtukiza,anajua kinachofanyika.sasa jamani mishahara haitoshi na marupurupu mpaka uibe??enh wabongo?KWA HIYO ANAPOULIZA ASIELEWESHWE,KILA MTU ANAKITENGO CHAKE SASA WEWE MGENI LAZIMA UMSIKILIZE MWENYEJI NA PIA UUMPE NAFASI AKUELIMISHE
Uzuri wa Rais wangu Magufuli hapendi kudanganywa na pia ukiona anafuatilia au kuulizia jambo ujue ana data za kutosha, yeye huwa hawakurupuki na pia ukimwambia ukweli huwa ana huruma sana.Nimeona mara mbili sasa inajirudia, Rais anapotembelea ofisi (mfano airport, na pale bandarini) anapouliza maswali na kubaini makosa watu waliowekwa pale huanza kujitetea, nakutaka kumfundisha rais (kumlecture).
Mimi kwa maoni yangu sio jambo zuri kwa wewe mtumishi kuanza kubishana na rais, hii sio adabu kabisa. Lazima ujue unaongea na mkubwa anapokuambia kuna tatizo sehemu fulani we kili tu huwezi kufa, kwani ukikili harafu ukajirekebisha kunatatizo gani?.
Pia watu lazima wajue Rais wetu Magufuli ana PhD sio ya kupewa, kasomea hivyo siyo rahisi kwa mtu mwenye PhD kudanganywa kijinga kijinga, kama walizoea kudanganya wabadilike.
Mtu anayetuongoza ni msomi sio rahisi kumdanganya. Mfano pale bandarini anakueleza kwamba kwanini mtu aki feed information kule wewe huoni unapokuwa ofisini, oo eti, eti eti. Kwanini usiseme tu kwamba nimekosea na nitajirekebisha au tutajirekebisha.
Mimi wakati nasoma MSc nilikuwa nambishia Prof wangu juu ya topic fulani akaniambia don't lecture me, baadae nikajifunza unapomsikiliza Prof unajua mengi ambayo ulikuwa hujui kuliko kuanza kujifanya na wewe much know.
Nilipokuwa nafanya PhD niliendelea kumsikiliza Prof bila kumbishia ila tu nilikuwa natoa maoni kwanini isiwe hivi, na Prof alikuwa anajibu na kuonyesha njia.
Nawaomba watanzania wenzangu wajue Dr. Magufuli sio Dr wa kuchoma sindano, au Dr wa kupewa, ni PhD holder. Huwezi ukamyumbisha kijinga kijinga.
Ujue watu kama hawa waliosoma hawayumbishwi kijinga, huwa hawatetemeshwi na nyau.
Angalia hata Prof Muhongo, huwezi ukamshake kwa maneno yako yasiokuwa na kichwa au miguu. Hata wazungu wanajua kwamba tunaenda kuonana na mtu msomi sio yes man.
Zamani akija mzungu tu wizarani, utasikia waziri, ee tujiandae kwa mapokezi maalumu. Hayo yamepitwa na wakati kwa serikali yenye wasomi kama ya JPM.
Watu walikuwa wanakuja na begi tu eti anataka kuwekeza na walikuwa wanakubaliwa ila angalia sasa hivi hawaji, wameshasoma upepo.
Sasa watanzania tubadilike, Rais akija kwako akibaini kuna makosa, kubali halafu badilika, sio kujitetea. Hii inatuonyesha hufai maana hujui unacho kifanya.
Muungwana anakubali na anabadilika.
Weka sawa tu, lugha rahisi "UJUE WEZI".ujue kuna jambo
Urais ni taasisi hivyo elewa kwamba Rais anajua kila kitu.Kwa iyo we una amini kuwa raiz ndo kujua kila jambo