Rais al-bashir atangaza kutogombea tena sudan

Rais al-bashir atangaza kutogombea tena sudan

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
Rais wa sudan amesema hatowania tena muhula mwingine kwa sababu za kiusalama,,...
ktk uchaguzi ujao ..kutokana na shinikizola mabadiliko linaloikabili mataifa ya kiarabu ikiwemo nchini mwake...
mmoja wa maofisa wa juu wa chama chake amaesema al-bashir alieingia 1989 kutokana na mapinduzi yasiyomwaga damu na kushinda uchaguzi uliolalamikiwa apr mwaka jana hatowania tena kwa sababu za kiusalama..
uchaguzi huo wa rais unatarajiwa kufanyika kila baada ya miaka mitano kwa mujibu wa taratibu utafanyika miaka minee ijayo

Mh RAIS nahisi umekaribia kusoma nyakati lakini kwa uamuzi wako watakuvumilia miaka miwili tu ijayo wataingia squregarden kufanya mamabo nahisi wasudan nao wamechoka na awataki ujinga tena
 
Back
Top Bottom